Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,385
- 10,659
Ushachoma kadi?Akiwa msemaji Yanga huyu,nahama YANGA RASMI na card nachoma moto live.Si kwa matusi yale kwa Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushachoma kadi?Akiwa msemaji Yanga huyu,nahama YANGA RASMI na card nachoma moto live.Si kwa matusi yale kwa Yanga.
Katika hao ulowataja hapo kama wapumbavu tayari mmoja ashakuja kwenu! huyo alobakia bado mnamng'ang'ania huko CAS ili muwe na wapumbavu wakubwa wawiliSidhani kama kuna Kiongozi wa Yanga anaweza kufanya huo upuuzi. Hajji Manara na Bernard Morrison ni viumbe ambao kamwe hawastahili kuwa na mahusiano yoyote yale mazuri na Yanga.
Wapumbavu wakubwa wale! Wametufanyia kejeli nyingi sana.
Enough is enough.
Vipi umehama?Akiwa msemaji Yanga huyu,nahama YANGA RASMI na card nachoma moto live.Si kwa matusi yale kwa Yanga.
Vipi umeshahama karibu msimbaziAkiwa msemaji Yanga huyu,nahama YANGA RASMI na card nachoma moto live.Si kwa matusi yale kwa Yanga.
Sijahama.Nimegundua Haji kaja GSM na si Yanga.Vipi umeshahama karibu msimbazi