Yanga tunataka Mchukua Manara - Chonde chonde tuacheni huu Upuuzi

Yanga tunataka Mchukua Manara - Chonde chonde tuacheni huu Upuuzi

Baada ya kufeli Unyamani sasa ni za utopolo kuvulugwa kaeni mkao wa kuvulugwa#Nguvu moja
 
Dah.....binafsi sijapenda.
Mimi nimependa Haji kuhamia Yanga.

Kwa kifupi Haji hana uwezo wa kutunza siri za ndani ya timu. Ukimpa fedha tu anaropoka mipango yote ya ndani. Hivyo naiona Simba ikinufaika sana, kuna uwezekano mkubwa Simba ikaendelea kuwa Bingwa kwa miaka 10 mfululizo. Kauli kama alivyoiasisi Haji.

Yanga msimuamini sana huyo mtu, bado ana chembechembe za usimba moyoni. Alishawahi kusema yeye anaangalia fedha tu ila anaipenda Simba.
 
Back
Top Bottom