Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Huu mpira wa Media ndio iliifanya SSC kuporomoka sana na kufikia hapo ilipofikia.
Goli ambalo hatuwezi kujivunia nalo deep down lisitutoe kwenye reli kuwa kuna TAFSIRI 2
1. Inawezekana Yanga SC Imeanza kuwa na kiwango cha kawaida au wachezaji wetu wameanza kuchoka, Sijaona Shambulia la hatari lililofanywa na Yanga jana dhidi ya SSC , Gamondi asijekuwa ameanza kuwa mzee wa Objective football , na sasa za mpira kwa ushindi wa butua butua , maneno maneno huku tunaona timu inavyo struggle kupata ushindi hata kwa timu ndogo
2. Inawezekana SIMBA imeimarika ndio maana tunaona yanga anashindwa tena kumfunga SIMBA, tukumbuke Yanga bora ndio iliyofichua Simba mbovu, tuangalie kinyume chake isijekuwa kweli.
Kitendo cha kunywa Supu kwa OWN goal , ni sehemu ya kujitafakari timu kiwango kinashuka au ni nini kinaendelea au wachezaji wameanza kulewa Sifa, SSC jana ilikuwa bora walikosa umakini wao wenyewe otherwise tungelala hata Goli 3.
Hata ile Penalt it was clear penalty but Refa had to balance the game , na kama kungekuwa na VAR , hata goli walilojifunga SSC, halikupaswa kuwa Goli maana mpira ulikuwa nje clear , ni kukosa umakini kwa marefa wetu lakini pia kukosekana kwa technology kama VAR uwanjani otherwise halikupaswa kuwekwa kati.
So sijaelewa furaha ya supu inatoka wapi, ni sawa na ile furaha ya mamelodi kuitoa Yanga, ni ukichaa
Let’s focus na timu yetu kuwa tumeshindwa kutengeneza chances mbele ya SSC iliyoimarika na hii ni red light ahead pamoja kwamba tunaamini tunawachezaji wakubwa.
Hata kutoboa makundi mwaka huu inaweza kuwa ni kipengele. Timu inaanza kushukq kiwango tubaki humo