Yanga Tupunguze Maneno, Jana hatujashinda Goli hata moja, kuna cha kujifunza hapa

Akija kujibu nistue
 
Umeandika kwa uchungu sana. Hata dodoma jiji ile mliowafunga haikuwa penart!
 

View: https://www.instagram.com/p/DBWHs4yN5ZZ/?igsh=MW14YXlodDZrNmwyNA==
 
Simba mnashida sana .....
 
Huu mpira wa Media ndio iliifanya SSC kuporomoka sana na kufikia hapo ilipofikia.

Goli ambalo hatuwezi kujivunia nalo deep down lisitutoe kwenye reli kuwa kuna TAFSIRI 2
Mpaka hapa umeonesha wewe ni shabiki wa Simba unayepitia mateso makali sana ila unajifariji tu kupitia kuiponda Yanga
 
Mashabiki wa Simba mnajifariji sana. Hii Yanga ni bora sana. Na jana imecheza vizuri sana. Hatupangiwi namna ya kushangilia ushindi
 
Kweli kabisa, kwa jinsi wanavyocheza Yanga kuifunga alhilal na Tp Mazembe wasipobadilika ni inshu!!!!!
Belouizdad na Al Ahly ilikuwa ni bora kuliko hao Al Hilal na Tp Mazembe lakini Belouizdad alishindwa kufuzu mbele ya Yanga na Al Ahly akatoa sare ya magoli na Yanga Dar na kule Misri Yanga kafungwa goli moja pekee. Tuambie Simba na Tp Mazembe walipigwa ngapi na Al Ahly? Na msimu uliopita Al Ahly karuhusu goli moja pekee tena ni Yanga pekee ndio walioweza kupata goli. Upe muda utoe majibu
 
Baada ya mechi ya ngao ya jamii mlisema October 19 sio mbali
Leo tena mnasubiria raundi ya pili
Hebu tuje kwenye post match analysis
Nani alikua na possession kubwa ?
Nani alikua na on target nyingi kuliko mwenzake?
Yaani timu iliyokuzidi possession, ikakushambulia zaidi ya ulivyoishambulia bado unakua na nguvu ya kusema bado kidogo tuwaweze
Ngoja tuone hiyo raundi ya pili
 
Milio milio mingi na tutaendelea na dozi hii huu.
 
Ni maoni Yako japo siwezi kujipa uharaka wa kuyakubali.

Jua zaidi ya nusu ya wachezaji Yanga waliotoka kwenye mechi za mataifa Yao wiki hii (nyumbani na ugenini), Kwa Hali kama hii boli la kasi na lenye kutembea lingekuwa shida Kidogo.

Jipe muda.

Lakini hata hao waliojifunga ni tukubali ilitokea kwa pressure ya timu pinzani. So huwezi kubeza kuwa kazi ilifanyika.
Hivi ukimpiga tembo kwa bua akafa, utasema hukumuua?
 
We kama nani unaipangia Yanga cha kufanya?

Simba is Simba na Yanga ni Yanga Akili zen za Great Results Now hizi daah!!!
 
Kwa akili hizi RAGE APEWE HESHIMA YAKE
 
Inaonesha wazi,kinachokuuma ni watu kunywa supu 🤣🤣 wala hakuna kingine.
 
Yanga yeye hasajili, wenu ni vijana yanga wazee
Aziz ki
Pacome
Yao
Boka
Job
Bacca
Mudathir
Nzegeli
Dube
Mzize
Musonda
Baleke
Hao ni wazee au ndio mnajipa matumaini.
Mpira ni SAYANSI huwa haudanganyi
Yanga nao wanaganyia kazi mapungufu yao na msimu ujao Aucho analetewa mbadala
Yaan ukijenga kwako Simba, yanga nae anajenga kwake.
Binafsi nyie Bado sana njia ya yanga kushuka labda auze wachezaji watano muhimu kama bacca, diara, Aziz ki, pacome, Yao kwasi, na mzize nje ya hapo Bado mtatafutana kupata quality squand kama iliyopo yanga.
 
Ali kamwe alisema hamuwezi kushinda game 5 mfululizo, na kweli imetokea dhidi ya coast union
Match tano mbele Simba itaanza kumkataa Ateba na Fadlu
Muda unakaribia
Mpira upo wazi, nyie mmekamia toka game ya kwanza mpaka ya jana ya yanga
Lakini madhara ya kukamia ni kwamba hakuna mwendelezo lakini ubora una mwendelezo itoshe kusema yanga ana 90% za ubingwa

Sakho, Banda, phiri, baleke, ducan nyoni na wengine wengi walianza msimu hivi hivi Kwa ushindi na mkaongea return of Simba lkn badae quality ikaamua leo wako wapi?

Aseee Simba tatizo ni viongozi na mpira umebadilika sio kama zamani saiv mpira ni SAYANSI hauna mchanganyiko
Anzeni na viongozi wajue nini wanataka then muje Kwa coach badae ndio mfanyie kazi wachezaji
Ivi kama sio viongozi wachovu kwann mulimuuza saido kisa ahoua, kwanini mulimuacha phili kisa mukwala na ateba, nyie em Karni chini mfikirie mzizi wa tatizo? Binafsi naona ni viongozi....tena Simba hakuna structure nzuri ya uongozi yaan timu ikifanya kitu unashindwa kujua ni juhudi za MO au mangungu!!!

DUSCUSS??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…