Yanga Tupunguze Maneno, Jana hatujashinda Goli hata moja, kuna cha kujifunza hapa

Asipokuelewa basi
 
Wasio na akili watakutukana japo wewe umeeleza ukweli bila ushabiki ndani yake.
 
Waache wanywe supu.
Kuna nyakati za ng'ombe walionona na ng'ombe waliokonda.
dah shekhe umeongea manenobhapa wanakuona ww bwege lakin inafikirisha yanga hii kwa simba sasa ni goli moja moja lamazabe haya hao wagen wanawafungaje mpira ule
 
Reactions: Tsh
dah shekhe umeongea manenobhapa wanakuona ww bwege lakin inafikirisha yanga hii kwa simba sasa ni goli moja moja lamazabe haya hao wagen wanawafungaje mpira ule
Shekhe, Kuna kale kawimbo ka Yanga hii unaifungaje, ni suala la muda tu hawatataka kuusikia.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
 
Mimi sikuangalia Mpira hivi Simba alipiga pasi hadi golini kwake Kijili akajifunga.
 
Usitufumbe mdono mabingwa wa kuhistoria,acha tufurahi,kile kipindi cha majonzi mlituombea hata tufe,tumevuka salama tuache tufurahi.
 
Noted
 
Watakuelewa tu. Najua umeitwa majina mengi sana.
 
Habar zenyuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…