Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,911
- 28,469
I salute you kinsmen
Nilikuwa kimya kwa muda mrefu maana niliona wazi dalili kwetu si nzuri sana
Kimsingi msimu huu ilitakiwa tubebe yote tena lakini kwa kuwa kuna sehemu tangu mwanzo tulishabugi basi ikawa kusubiri kudra tu.
Tulikosea kwenye usajili huo ndio ukweli kabisa.
Walioingia kwenye mfumo direct ni
Okello
Depu
Damaro (kiasi)
Assinki
Shabalala
Wengine ndio kama vile kwa mkopo huko na wengine benchi matokeo wachezaji wale wale nao wanachoka
Ile yanga ya kikosi kipana ikawa haipo tena.
Nimeona watu wanadai kuwa yanga wamemelizana na yule msauzi Eric Tincker.
Naona tunaenda mule mule kujaribu makocha tena.
Yanga ya sasa haihitaji kuwapa profile makocha bali wenye majina makubwa waje kuipa mafanikio.
Gamondi aliifaa sana hii team ila kutokana na tabia zake akashindwana na uongozi.
Lakini kuna makocha kadhaa hawa wakirudi basi naamini yanga inaenda kurudi kuwa moto
Miloud Hamdi
Saed Ramovich
Hawa walikuwa wanaendana na philosophy ya yanga asilimia 100
Ukiachana na tofauti zao na uongozi kwanini asirudi mmojawapo kuliko kuhangaika na makocha wa kujaribu?
Simba wameshasettle sasa msimu ujao watakuwa bora zaidi tusiishi kwa mazoea mambo yanageuka.