Yanga tusipokuwa makini na suala la likizo tutaukosa ubingwa mapema

Ndugu ubingwa wa NBC hauna mijadala, Shida ni izi mechi 2 za kimataifa tunahitaji point 6 Ngumu Sana.
Inatakiwa timu iwe imara Sana Kimbinu na Utimamu wa miwili wa wachezaji.
Hatima ya Yanga kucheza robo fainali itakuwa tarehe 16/2
 
Issue sio likizo ila Wana maneno mengi ya kujitapa na kujisifu kuliko kazi. Hapa kwa Sasa atakuwa anapata ushindi kwa taabu sana
 
Ndugu ubingwa wa NBC hauna mijadala, Shida ni izi mechi 2 za kimataifa tunahitaji point 6 Ngumu Sana.
Inatakiwa timu iwe imara Sana Kimbinu na Utimamu wa miwili wa wachezaji.
usijiamini sana..
kumbuka zimebaki mechi 16.
michezo 16 ni sawa na points 48.
 
usijiamini sana..
kumbuka imebaki mechi 16.
michezo 16 ni sawa na points 48.
Ubingwa Wa nchi hii haujawahi kuwa mgumu kwa Yanga kwakua wanajua jitihada na Nguvu zinazo hitajika kuwa Bingwa, Timu ya ubingwa wa NBC miaka 2 mbele tunayo ku ukosa ni uzembe wetu kwakua quality ya NBC ipo.

Shida tuliyonayo ni Ligi ya Mabingwa kwakua tunawapinzani wagumu na tunahitajika kutumia resources zote kushinda ili kijipambanua kimataifa.

Hatuhitaji kuelekezwa nguvu kwenye Tunguli / slogan, tunahitaji uwezo wetu wa kisoka na mbinu uwanjani tukajipambanue kimataifa.
 
Acheni mambo yenu bwana, walikuwa wanatumikia timu zao za taifa na ata wangewai bado Kuna likizo kwa wachezaji wanaokuwa timu za taifa kwaiyo wasingetumika, sioni mantiki ya kuhoji sana hili jambo, awapo na timu inasonga mbele papara ya washambuliaji kukosa magoli litakwisha ni suala la muda tu ilimradi timu inatengeneza nafasi
 
Kikosi kipana kitakosaje ubingwa kwa kisingizio Cha mchezaji mmoja?
 
Mwezi mmoja wa honeymoon atarudi amekokotolewa akikimbia anapepesuka mwenyewe bila kuguswa
 
tulia ndugu,yanga inaongozwa na wataalamu,wanajua kila wanalofanya
 
Miili ya wachezaji ni miili ya club ni sawa na mwanajeshi mwili wake ni wajeshi,wachezaji inatakiwa watimize majukumu yao ipasavyo
Watengeneze mapumzuko yaliko kwenye calendar
 
Mwezi mmoja wa honeymoon atarudi amekokotolewa akikimbia anapepesuka mwenyewe bila kuguswa
Hahahaa sasa unataka aoe bila kufurahia honeymoon na mwenza wake kisa kuwa wahi mashujaa??
 
Manchester United walipeleka private jet Abidjan kumchukuwa mchezaji wao baada ya mechi tu, sasa nyinyi mna hiyo jeuri?

Wacha havikaze vitoto vya Burkinafaso Kwanza atarudi Tu.
 
Hauko serious
 
Wachezaji wa Mali na Burkinafaso wanaocheza Ulaya walisharudi kwenye timu zao wote
 
Tunachotakiwa ni kuombea Simba ifungwe au isuluhu. Ikifanyika tunatangaza ubingwa mwezi kesho mapemaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…