🤣🤣🤣🤣Vijana wa bongo bwana
Yani asubuhi hii yote mtu anawa atawezaje kuishi bila gsm utafikir ndio pumzi yake
🤣🤣
No Coment.Vijana wa bongo bwana
Yani asubuhi hii yote mtu anawa atawezaje kuishi bila gsm utafikir ndio pumzi yake
🤣🤣
Yanga ishaonyesha potential kubwa kwenye ubora wa wachezaji, management ya timu na uuzaji wa jezi nahisi tunaweza kupata uwekezaji mzuri hata GSM asipokuwepoTulitembeza bakuri
Usihofu bro yanga ipo kwenye mchakato wa kujengwa upya kimfumo.Mimi kama mwanachama wa Yanga nampongeza mfadhili wetu GSM Kwa mazuri anayoifanyia timu yetu
Lakini tukumbuke GSM ni binadamu anaweza siku akaamka hana furaha, akasitisha ufadhili wake, Kuna kufirisika, kifo n.k
Viongozi watueleze, je bila GSM sisi wanayanga tutakuwa vipi imara
Sifurahii kuishi Kwa pesa za mfadhili
Sifurahii GSM kuitwa mfadhili Bali aitww mdhamini, yaani ananufaika na Yanga ina nufaika sio kusema anatufadhili kama Yatima, hiyo ni kauli mbaya kwetu Yanga kuishi Kwa kufadhiliwa tunataka udhamini sio kufadhili
Tuliwahi kuwa timu Bora kipindi tuna Yusuph Manji, Gulmali, Mengi, Tarimba lakini walitoka timu yote ilipitia magumu sana
Eng Hersi nakuheshimu ila njoo na mikakati mizuri Yanga utoke kwenye wafadhili ije kwenye wadhamini
GSM aje na mahesabu atwambie anawekeza sh ngapi na ananufaika vip kutumia Logo ya Young Africans sio sisi mashabiki tuwe tunamwimba tu
GSM aweke pesa kulingana na mikataba, na vyanzo vya mapato ya club yawe wazi,
Binafsi naamini Kwa taasisi kama Yanga tunaweza kutumia brand yetu kujiendesha na kuingiza pesa ndefu bila kuwa na wafadhili
Tunahitaji uwanja wa timu
Viongozi achaneni na hapo jangwani kwenye Mafuriko, Tanzania ni kubwa ardhi ipo, tafuta sehemu Jenga uwanja sio mpaka kulilia vibali na ku risk ili uwanja ujengwe sehemu isiyo salama
GSM anafanya kazi nzuri ila tusifurahie maisha ya kufadhiliwa kama Yatima au wajinga
Timu za mipira za Tanzania ni zakimpumbavu sana kwanini zisiwekeze kwenye magengo apartment nk ..timu kama yanga na Simba zilitakiwa kuwa na magorofa ya kisasa ya apartment yasiyo pungua 10 kila moja na nyumba za kisasa zisizo pungua 200.Mimi kama mwanachama wa Yanga nampongeza mfadhili wetu GSM Kwa mazuri anayoifanyia timu yetu