Yanga tuwe tunajifunza kutokana na makosa pia tujifunze kitu kutoka kwa Simba SC

Yanga tuwe tunajifunza kutokana na makosa pia tujifunze kitu kutoka kwa Simba SC

Little brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2020
Posts
4,282
Reaction score
6,303
Hii mechi maandalizi yake hayana tofauti na yale ya Rivers united au ile ya Azam kule Zanzibar.

Wachezaji waache kupewa ruhusa za kiduwanzi na mchezaji akichelewa kureport apigwe bench na adhabu kali, haya mambo tukicheza mechi mbili au tatu wachezaji wanaenda kula bata tuache ni ushamba.
 
Saido amekuja lini kambini? aucho na makambo? au walikua afcon mkuu
Kwani Aucho na Saido leo walicheza?

Kocha hajawachezesha hao kwasababu hawana match fitness ila trust me wangecheza hao leo tungeibuka na ushindi mnono

Na Feisal ni majeruhi, yaani daah sipati picha imagine hapa una Mayele pembeni Moloko afu kati una mzee wa kazi chafu daktar Aucho mixer na Saidoo sijui Mbeya city wangeponaje
 
Wacha wachezaji wale bata nyinyi tayari ni mabingwa.
Kuna muda naonaga viongozi wetu wamepungukiwa akili yaani, Unatoaje ruhusa kwa wachezaji watatu waende kula bata wakati una mechi ngumu mbele yako kama sio ujinga na ushamba
 
Angecheza mayele haya yote yasingekuwepo, hizi lawama zote ziende kwa kocha
Huyu hapa
FB_IMG_1644086439045.jpg
 
Kuna muda naonaga viongozi wetu wamepungukiwa akili yaani, Unatoaje ruhusa kwa wachezaji watatu waende kula bata wakati una mechi ngumu mbele yako kama sio ujinga na ushamba
Washajiona mabingwa tayari hawajui maajabu ya soka.
 
Hii mechi maandalizi yake hayana tofauti na yale ya Rivers united au ile ya azam kule zanzibar.

Wechezaji waache kupewa ruhusa za kiduwanzi na mchezaji akichelewa kureport apigwe bench na adhabu kali, haya mambo tukicheza mechi mbili au tatu wachezaji wanaenda kula bata tuache ni ushamba simba walipomfungia morison mkasema anatudai hela
simba tulipomfungia morison mlisema anatudai hela
hya walipeni hao wakina bangala na aucho

76AB5C50-4F75-475B-B104-008C4920F406.png
 
Kuna muda naonaga viongozi wetu wamepungukiwa akili yaani, Unatoaje ruhusa kwa wachezaji watatu waende kula bata wakati una mechi ngumu mbele yako kama sio ujinga na ushamba
shafih alindwe

CF4D7012-285A-4808-9684-17ABB7F71E8B.jpeg
 
Wachezaji, viongozi etc kujiona wao ndio Bora msimu huu na kuona taji wameshalichukua wanaanza kubweteka na hiki kiburi kikizidi mwisho wake Ni anguko...ndio Maana maandiko yanasema " aliyesimama aangalie asianguke"..katika Hali ya kushangaza na huu ubora wa Yanga lolote linaweza tokea..watu wengi watashangaa..

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom