Yanga tuwe tunajifunza kutokana na makosa pia tujifunze kitu kutoka kwa Simba SC

Yanga tuwe tunajifunza kutokana na makosa pia tujifunze kitu kutoka kwa Simba SC

Mkuu Inaonekana Mayele Anasumbua Sana Ukanda Wa Gaza Huko Msimbazi Watu Hampati Usingizi.
Awapi hizo ni kiki za msimu na katika rekodi hata hajawafunika wenzake walio mtangulia kabla yake ambao hadi kubebwa walibebwa
 
Ushauri mzuri sana lazima tupunguze kuwa walegevu kwa ruhusa za wachezaji hata shuleni ruhusa hazitolewi ovyoovyo
 
Back
Top Bottom