Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
Saido amekuja lini kambini? Aucho na Makambo? Au walikua AFCON mkuuSoka lawama!
Kwani Aucho na Saido leo walicheza?Saido amekuja lini kambini? aucho na makambo? au walikua afcon mkuu
Kuna muda naonaga viongozi wetu wamepungukiwa akili yaani, Unatoaje ruhusa kwa wachezaji watatu waende kula bata wakati una mechi ngumu mbele yako kama sio ujinga na ushambaWacha wachezaji wale bata nyinyi tayari ni mabingwa.
Huyu hapaAngecheza mayele haya yote yasingekuwepo, hizi lawama zote ziende kwa kocha
Washajiona mabingwa tayari hawajui maajabu ya soka.Kuna muda naonaga viongozi wetu wamepungukiwa akili yaani, Unatoaje ruhusa kwa wachezaji watatu waende kula bata wakati una mechi ngumu mbele yako kama sio ujinga na ushamba
simba tulipomfungia morison mlisema anatudai helaHii mechi maandalizi yake hayana tofauti na yale ya Rivers united au ile ya azam kule zanzibar.
Wechezaji waache kupewa ruhusa za kiduwanzi na mchezaji akichelewa kureport apigwe bench na adhabu kali, haya mambo tukicheza mechi mbili au tatu wachezaji wanaenda kula bata tuache ni ushamba simba walipomfungia morison mkasema anatudai hela
shafih alindweKuna muda naonaga viongozi wetu wamepungukiwa akili yaani, Unatoaje ruhusa kwa wachezaji watatu waende kula bata wakati una mechi ngumu mbele yako kama sio ujinga na ushamba
Mkuu Inaonekana Mayele Anasumbua Sana Ukanda Wa Gaza Huko Msimbazi Watu Hampati Usingizi.Angecheza mayele haya yote yasingekuwepo, hizi lawama zote ziende kwa kocha
Kwani leo hakucheza tumemiss ile staili yake ya kutingisha matitiMkuu Inaonekana Mayele Anasumbua Sana Ukanda Wa Gaza Huko Msimbazi Watu Hampati Usingizi.
Kibendera Hakuruhusu Mwanamsibazi Wewe Ushuhudie Style Inayowakonga Moyo Ya Ushangiliaji.kwani leo akucheza tumemis ile staili yake ya kutingisha matiti
Magoli yenu yanategemea washika vibendera?Kibendera Hakuruhusu Mwanamsibazi Wewe Ushuhudie Style Inayowakonga Moyo Ya Ushangiliaji.
Ila Next Match Usiache Kutazama Mpira Utaiona.