Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,757
Okota okota ndo unasema usajili we mwaa ..kimba fc?[emoji23][emoji23][emoji23] hasira hizi ungempelekea mwamedi....angeongeza kasi ya usajili Kama yanga..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee usinichekeshe mie hapa lol.Tulia..mambo mazuri yanakuja soon mkuu...[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah tukutane kwenye CAFCL ndo tutawaonesha nn maana ya hii michuano, km Al Ahly anavyowaoneshaga Zamalek, au Mamelodi anavyowaneshega Kaizer chiefs.Mara paap CAF champions kolo mmepangwa na YANGA......najua huo ndio utakuwa mwisho wenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee usinichekeshe mie hapa lol.
Kwa kili zako za kushikiwa na manara unadhan la liga wanaweza kufanya huo upumbavuu?ndo maana hapo kinye ...fc weny akili ni wawil tuMkuu .unazani .kwann LaLiga Santander wanaipost YANGA kwenye page zao za mitandao....????
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nm eti??Ila we bint basi tu
Naongea....lkn naogpa dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah tukutane kwenye CAFCL ndo tutawaonesha nn maana ya hii michuano, km Al Ahly anavyowaoneshaga Zamalek, au Mamelodi anavyowaneshega Kaizer chiefs.