ummumuhammad
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 796
- 697
Ingekuwa simba ndiyo kaweka kambi bongo,wachang'ombe wangeshupaza shingo zao hao!Ingekuwa mada ya wiki nzima.Sasa wapo kimyaaaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule instagram wale wachambuzi wangemkalia Mo kooni aisee. Barba na Mo.wange kosa furaha kwa kusemwa.Nawaza hapa kwa mfano ingekuwa simba ndyo kabak kamb hapa nchn na yanga kaenda nje ya nchn hakuna rangi wanasimba wangeacha kuona kwa yule zungu pori na wanaharakat wa mchongo...
ila all in all aziz k kasepa na mpunga wa pre season alaf wanakuja kutuongopea et kocha ndyo kapendekeza wabak hapa sas kwann asngependekeza kabla hawajaweka bukng
[emoji1787]Kambi ipo matombo sio bigwa,weka rekodi sawa ndugu mwandishi
HayakuhusuKuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.
Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.
Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.
Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.
Msimu uliopita tuliyaona kimataifa kwa kipigo cha dar 2 lagosMatokeo ya hizo kambi tutayaona uwanjani ayo mengine ni maneno ya kwenye khanga na vijiwe vya kahawa
We unaona sawa kweli, usajili wachezaji wa gharama halafu ukaweke kambi Matombo, au ndio ushabiki maandazi
Ujinga nao ni bahati,mleta mada alibahatika.
Katibu msaidizi wa vijana wa hovyo Tanzania yupo kazini
Kuna msemo unasema kambi popote.
Tusiwaseme saana watani zetu, tusubiri msimu uanze.
Kambi inajumuisha vitu viingi saana, ingekuwa ubora tu, basi timu za uingereza ziingekuwa zinatoka au kwenda vinchi vidogo mfano wa kama Austria huko.
Ushindi wa utopolo hautokani na mazoezi,kambi nje ya nchi na wala coach wanayemwita professor kwani hadi sasa hata hawajampa mkataba ijapo ule was awali umeisha.
Ushindi wa utopolo unatokana na wazee wa Lindi na pesa chafu ambazo wachambuzi wengine wananunuliwa viatu na suti za blue za kupiga nazo picha insta.
Matombo sio mji kasoro bahari?Kambi ipo matombo sio bigwa,weka rekodi sawa ndugu mwandishi
Ni ushamba tu unatusumbua,haina haja ya kwenda mbali kama facilities zipo hapa hapa, kuna jamaa kawekeza sana Arusha...... niliwahi fanya tour pale.... natamani Yanga wakatulie kule