Yanga usajili wote huo mnakwenda kuweka kambi Bigwa, Morogoro, kweli nyie ni wa kimataifa au wa hapa hapa?

Unaenda kuweka kambi misri kwenye baridi na viwanja vya kisasa halafu unakuja kucheza ligi kwenye uwanja wa nankumbu ni akili au matope?

Hakuna sababu ya kumtukana mleta mada.

Yeye huwa anadhani kuweka kambi ni kwenda kusoma mbinu za timu nyingine.

[emoji23][emoji23]
 
Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.

Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.

Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.

Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.
Bigwa unaposema wewe sio sehemu ya kifala! Karibu sikumoja ujionee maji yatiririka Moro
 
Attachments

  • 29E65DD9-FA39-4289-8E10-36E9B9C380B6.jpeg
    29E65DD9-FA39-4289-8E10-36E9B9C380B6.jpeg
    74.4 KB · Views: 4
Unaenda kuweka kambi misri kwenye baridi na viwanja vya kisasa halafu unakuja kucheza ligi kwenye uwanja wa nankumbu ni akili au matope?
Topolo limekariri Misri kuna baridi... hii ni July
 
Ingekuwa simba ndiyo kaweka kambi bongo,wachang'ombe wangeshupaza shingo zao hao!Ingekuwa mada ya wiki nzima.Sasa wapo kimyaaaa!
Wamepigwa kwenye mshonooo, tena Takadini kanyweaa kimyaa km hayupo vile, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaenda kuweka kambi misri kwenye baridi na viwanja vya kisasa halafu unakuja kucheza ligi kwenye uwanja wa nankumbu ni akili au matope?
Pesa za magodoro fake zote zimekombwaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si mseme ukweli tyuuh.
 
Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.

Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.

Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.

Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.
Kwani kwenye kuweka kambi huwa kinaangaliwa nini?
 
Bigwa unaposema wewe sio sehemu ya kifala! Karibu sikumoja ujionee maji yatiririka Moro
Wanatalii milima ya uluguru?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani kwenye kuweka kambi huwa kinaangaliwa nini?
Mlongo sisi hatuna tabu, ila Takadini ndo alijifaragua wazi wazi huko insta, mtaenda [emoji631], baadae kocha kasema tutahamia [emoji1250],

Wacha aiponde simba haina hela, ndo maana wachezaji wa chupli chupli, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Leo mnaenda Bigwa huko, mnataka kusema nn? Kwani mkikubali aziz ki kawakomba zoteee, shida nn? yaokuba kamfunda mwenzake.

Vipi wee huendi kuwasaidia kutengeneza juice ya miwa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
Hii ni sawa na mwanume amemhonga Demu mzuri pesa yote halafu amekosa pesa ya kuendea lodge..kinachobaki hapo ni kwenda vichochoroni tu .aibu kweli
 
Hii ni sawa na mwanume amemhonga Demu mzuri pesa yote halafu amekosa pesa ya kuendea lodge..kinachobaki hapo ni kwende vichochoroni tu .aibu kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti mno.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Wachezaji walosajiliwa lzm wavijue viwanja vyetu vyema kabisa

Tuna kocha wa kiarabu waarabu hawawezi kutuzingua kbs

Nyie ambao hamna kocha wa namna hiyo nendeni huko mkajifunze .

Viwanja vzr siyo changamoto kwetu changamoto ni viwanja vibovu

Pili twajifungia hakuna atakayejua mbinu zetu

Yanga bingwa Tena na tana

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Kumbe unahitaji tu kocha wa kiarabu ili kushinda agansit arabic teams? [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti mno.
Na ile ya Kambi ya Uturuki ni kama vile jamaa kafanya booking lodge au hoteli halafu baadae Demu anasema hawezi kutoka babaake amerudi nyumbani.
 
Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.

Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.

Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.

Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.
Kambi owe bigwa au Matombo hsijalishi. Sisi tunajali Ni matokeo ya kambi hiyo nayo tutaanza kuyaona tar. 13 August Hadi mwisho ligi. Kupanga Ni kuchangia, hivyo kila timu iheshimu mipango yake.
 
Back
Top Bottom