Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie.Na ile ya Kambi ya Uturuki ni kama vile jamaa kafanya booking lodge au hoteli halafu baadae Demu anasema hawezi kutoka babaake amerudi nyumbani.
Hivi Hawa wachambuzi maandazi,nikwamba utoporo huwa wanawatembezea bahasha za kaki au!? Maana wao kutwa kuisifia yanga na kuiponda SimbaKuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.
Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.
Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.
Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.
Imagine Simba ndio ingeweka kambi Bigwa, Mo angetukanwa kila aina ya matusiHivi Hawa wachambuzi maandazi,nikwamba utoporo huwa wanawatembezea bahasha za kaki au!? Maana wao kutwa kuisifia yanga na kuiponda Simba
Kazurureni Uturuki mashindano yakianza muendelee kuwasha moto uwanjani.Ushindi wa utopolo hautokani na mazoezi,kambi nje ya nchi na wala coach wanayemwita professor kwani hadi sasa hata hawajampa mkataba ijapo ule was awali umeisha.
Ushindi wa utopolo unatokana na wazee wa Lindi na pesa chafu ambazo wachambuzi wengine wananunuliwa viatu na suti za blue za kupiga nazo picha insta.