Unaenda kuweka kambi misri kwenye baridi na viwanja vya kisasa halafu unakuja kucheza ligi kwenye uwanja wa nankumbu ni akili au matope?
Huu uzi watani zetu wa utopolo wanaudiss kinoma noma🤣🤣🤣
Matombo nauli buku teniHuu uzi watani zetu wa utopolo wanaudiss kinoma noma🤣🤣🤣
Bigwa unaposema wewe sio sehemu ya kifala! Karibu sikumoja ujionee maji yatiririka MoroKuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.
Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.
Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.
Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.
Topolo limekariri Misri kuna baridi... hii ni JulyUnaenda kuweka kambi misri kwenye baridi na viwanja vya kisasa halafu unakuja kucheza ligi kwenye uwanja wa nankumbu ni akili au matope?
Wamepigwa kwenye mshonooo, tena Takadini kanyweaa kimyaa km hayupo vile, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ingekuwa simba ndiyo kaweka kambi bongo,wachang'ombe wangeshupaza shingo zao hao!Ingekuwa mada ya wiki nzima.Sasa wapo kimyaaaa!
Pesa za magodoro fake zote zimekombwaaah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaenda kuweka kambi misri kwenye baridi na viwanja vya kisasa halafu unakuja kucheza ligi kwenye uwanja wa nankumbu ni akili au matope?
Kwani kwenye kuweka kambi huwa kinaangaliwa nini?Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.
Simba wako very strategic, Azam nao hivyo, timu za kaskazini zimekuwa zikitusumbua sana, dawa yao ni kwenda huko huko kwao kwenye pre season ili tujifunze wanafanyaje fanyaje had wanatupiga miguu ya bajaj au kifurushi? Simba inakwenda kucheza mechi za kirafiki na Ismailia na Pyramids, pamoja na national team ya under 20.Hayo ndio mambo.
Sio unamtoa mtu ivory Coast umevunja kibubu halafu unakwenda Morogoro, ukacheze na mtibwa na moro United.
Hayo yote wachambuzi feki wamekaa kimya kumuogopa mzungu pori na Rais wao, shame on you.
Wanatalii milima ya uluguru?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bigwa unaposema wewe sio sehemu ya kifala! Karibu sikumoja ujionee maji yatiririka Moro
Mlongo sisi hatuna tabu, ila Takadini ndo alijifaragua wazi wazi huko insta, mtaenda [emoji631], baadae kocha kasema tutahamia [emoji1250],Kwani kwenye kuweka kambi huwa kinaangaliwa nini?
Yote sawa tu...wakapande milimaKambi ipo matombo sio bigwa,weka rekodi sawa ndugu mwandishi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti mno.Hii ni sawa na mwanume amemhonga Demu mzuri pesa yote halafu amekosa pesa ya kuendea lodge..kinachobaki hapo ni kwende vichochoroni tu .aibu kweli
Kumbe unahitaji tu kocha wa kiarabu ili kushinda agansit arabic teams? [emoji1]Wachezaji walosajiliwa lzm wavijue viwanja vyetu vyema kabisa
Tuna kocha wa kiarabu waarabu hawawezi kutuzingua kbs
Nyie ambao hamna kocha wa namna hiyo nendeni huko mkajifunze .
Viwanja vzr siyo changamoto kwetu changamoto ni viwanja vibovu
Pili twajifungia hakuna atakayejua mbinu zetu
Yanga bingwa Tena na tana
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Baada ya kuwa imeshindikana?Ni ushamba tu unatusumbua,haina haja ya kwenda mbali kama facilities zipo hapa hapa, kuna jamaa kawekeza sana Arusha...... niliwahi fanya tour pale.... natamani Yanga wakatulie kule
Na ile ya Kambi ya Uturuki ni kama vile jamaa kafanya booking lodge au hoteli halafu baadae Demu anasema hawezi kutoka babaake amerudi nyumbani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka kwa sauti mno.
Angalia majibu yao sasa.Matombo nauli buku teni
Kambi owe bigwa au Matombo hsijalishi. Sisi tunajali Ni matokeo ya kambi hiyo nayo tutaanza kuyaona tar. 13 August Hadi mwisho ligi. Kupanga Ni kuchangia, hivyo kila timu iheshimu mipango yake.Kuna mkakati wa makusudi unafanywa na baadhi ya wachambuzi kuisema vibaya Simba na kuiunga mkono Yanga hata inapoenda mrama, we timu imefanya usajili wa kufa mtu, msimu huu inakwenda kubahatisha tena ligi ya mabingwa afrika ndio maana wanaomba CAF waanzie ugenini ili wapate mteremko, halafu mnakwenda Bigwa kweli pre season.