hehehehe!Kesho mtanange wa kukata gebe na majigambo ya watani wa jadi utapigwa uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Simba. Timu zote tayari zipo mafichoni. Kama kawaida yangu karata naidondosha kwa watoto wa Papic makutano ya mtaa wa Twiga na Jangwani.
Kila la kheri Tegete, Assamoah, Chuji,Mbuna, Nsajigwa, Nsa Job, Mwasika, Babi, Nurdin, Shamte, Kiggi kesho vijana mtatupa raha.
hahahahaha!Ningependa wkt tunamchinja Mnyama awepo Kaseja golini wasikose sababu.
hehehe!Haya namsubili mpwa wangu mnazi wa Jangwani.
Ili mradi usije ukaingia mitini kama mwaka jana...:amen:Kesho mtanange wa kukata gebe na majigambo ya watani wa jadi utapigwa uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Simba. Timu zote tayari zipo mafichoni. Kama kawaida yangu karata naidondosha kwa watoto wa Papic makutano ya mtaa wa Twiga na Jangwani.
Kila la kheri Tegete, Assamoah, Chuji,Mbuna, Nsajigwa, Nsa Job, Mwasika, Babi, Nurdin, Shamte, Kiggi kesho vijana mtatupa raha.
Yanga 3 Simba 1 Full time score mark my predication;
Viingilio vya pambano la Ngao ya hisani kati ya Simba na Yanga litakalopigwa Agosti 18 vimetajwa ambapo kiingilio cha chini ni 5000/=.
VIP A .........40,000/=
VIP B..........30,000/=
VIP C..........20,000/=
ORANGE STRAIGHT 20,000/=
ORANGE CURVED 10,000/=
BLUE ROUND 7,000/=
GREEN ROUND 5,000/=
Hivi mechi itapigwa kwenye saa ngapi?
Kikosi chenu hakina sumu, mkipata wa kuwa zibiti Uhuru, Mgosi, Okwi,shija,Humoud,Banka, Owino hao ni baadhi ya watakao leta raha msimbazi...Mungu ibariki Simba Sports Club ili Fidel80 asingie JF baada ya game....AmenKesho mtanange wa kukata gebe na majigambo ya watani wa jadi utapigwa uwanja wa Taifa kati ya Yanga na Simba. Timu zote tayari zipo mafichoni. Kama kawaida yangu karata naidondosha kwa watoto wa Papic makutano ya mtaa wa Twiga na Jangwani.
Kila la kheri Tegete, Assamoah, Chuji,Mbuna, Nsajigwa, Nsa Job, Mwasika, Babi, Nurdin, Shamte, Kiggi kesho vijana mtatupa raha.
Yanga kuifunga simba itabaki historia tu, mpira umeshachezwa siku nyingi kesho ni kufuata matokeo tu. tatizo simba wana viongozi wajanja sana wa gemu na wana muda mrefu na uzoefu wa hizi mechi tulikua na yanga family sijui wameishia wapi mi naona njaa tuu tofauti na wenzetu ni viongozi wasio na njaa. mi sipotezi muda wa kwenda kupata maudhi yasiyoisha muda mrefu
Na Wakisha wasajili utasikia tume sajili bunduki kumbe magombole teh teh wasi wasi wangu wana weza wasipeleke timu uwanjani maana ndiyo tabia yao wakisha chungulia kwa Babu wakiona mambo siyo mazuri...........Hata namna ya usajili inatia shaka mno, ni kama interview ya kazi ambapo mtu atakuja na vyeti FEKI,CV FEKI mradi tu apate kazi,akishaajiliwa tu mara naumwa ,mara mtatizo ya kifamilia kumbe kazi hawezi. Ndo kina Boakye hao wameptikana kwa interview wameonesha mpira wa kutafutia kazi. Kesho tunao mpaka kieleweke
ushindwe, Utaje utaendelea ila msifukuze wachezaji safari hii..Yanga timu, funga hao Simba 3-1, tumalize 'uteja' uliojengeka ktk siku za hvi karibuni...!
Kikosi chenu hakina sumu, mkipata wa kuwa zibiti Uhuru, Mgosi, Okwi,shija,Humoud,Banka, Owino hao ni baadhi ya watakao leta raha msimbazi...Mungu ibariki Simba Sports Club ili Fidel80 asingie JF baada ya game....Amen