Yanga v/s Simba

Yanga v/s Simba

Nimeiona hiyo G Publisher kuwa pweza kala kwenye bakuli la simba kwa hiyo leo jangwani ni kilio tu!!
 
Lakini huyo pweza PAUL wamempata wapi wakati anaishi German?
 
Sasa wadau mlijua ukweli!?! ...Simba wapo juu na watashinda tu manta hofu
 
Wabongo kwa kupenda kuiga hatujambo.Hiyo ni photoshop bwana hakuna lolote apo.
 
Pengo plz endelea kutu update na uwe fair hata kama timu yako imefungwa
 
Simba ilishamlipia mahari Yanga.....................
 
mlio uwanjani tunaomba muendelee kutupa update kama mnazotoa kwenye world cup.. mida hii wengine hatuwezi kuangalia
 
Back
Top Bottom