Yanga v/s Simba

Yanga v/s Simba

Dah kweli mpira unapofika kwenye penalt hakuna ujuzi...hata mzee Punch mwenyewe anaweza kukosa kwa presha kupanda na kushuka.
 
Si niliwaambia SImba DADA tuuu hahaha kakubali MBAO 3 hahahahahahahahaha
 
Kwenye Penati hakuna Ufundi hata akipewa Mzee Punch nae anaweza kukosa kwa presha..Kocha anakazi ya kuwaanda vijana kwenye upigaji wa mikwaju ya penalti..
 
Yanga 3 Simba 1 Full time score mark my predication;

Viingilio vya pambano la Ngao ya hisani kati ya Simba na Yanga litakalopigwa Agosti 18 vimetajwa ambapo kiingilio cha chini ni 5000/=.



VIP A .........40,000/=
VIP B..........30,000/=
VIP C..........20,000/=

ORANGE STRAIGHT 20,000/=
ORANGE CURVED 10,000/=
BLUE ROUND 7,000/=
GREEN ROUND 5,000/=

Hivi mechi itapigwa kwenye saa ngapi?

I predicted this scoreline though Yanga won on penalties
 
afadhari nimekuona nimepata nuru njema haijalishi kama wewe simba or yanga

Thanx FL1 mizunguko ya Kimaisha inakeep distance na Ndugu, Jamaa na Marafiki

Naona leo Kandambili katafuna Mnyama, Hongereni Yanga tunawasubiri kwenye Ligi kuu
 
am SIMBA FAN.....! sishangazwi wala sichanganywi na matokea ya ngao ya hisani...!
 
I predicted this scoreline though Yanga won on penalties
Kwa sisi wengine ambao ni neutrals matokeo haya ni ahueni kubwa maana hawa "hayawani" huwa wakishinda, huku mitaani (na hata maofisini) ustaarabu kwishnei.
 
Makocha wa Simba walikuwa 4
1.Kocha mkuu Piritoni
2.Kocha wa kukodi Mziray
3.Kocha msaidizi Amri Said
4.Kocha msaidizi Matola
Dhidi ya kocha mmoja wa Yanga.
 
Back
Top Bottom