Yanga v/s Simba

Yanga v/s Simba

najua walifungwa 1-0 na Elitrea mechi ya kwanza, je ya pili na somalia ilikuwa vipi?
 
Mie nausikiliza redioni, watangazaji wanamsifia kipa wa Simba kwamba anafanya kazi nzuri sana. Asamoah wa Yanga amechemsha, Mgosi naye ametoka kwa upande wa Simba na nafasi yake imechukuliwa na Patrick Ochan.
 
Kwa hiyo nani anaongoza? Kumbe JF imejaa watu wa diaspora?
 
Angekuwako Mrisho Khalfan Ngassa tayari Yanga ingekuwa ishacheza ndombolo kama mara mbili hivi, lkn kwa kuwa ayuko, watakung'utwa kama kibaka aliekamatwa mitaa ya uswazi. subirini tu!!!!!!!!!
 
Mikwaju ya penati itaanza sasa hivi baada ya dakika 90 kumalizika 0-0.
 
ERNEST BOAKYE wa Yanga ANAKOSA BARTHEZ anadaka, refa anampa arudie.
 
ISACK BOAKYE WA YANGA - ANAPATA na kuipatia Yanga ushindi wa Ngao ya Hisani.
 
Back
Top Bottom