Yanga v/s Simba

Dah kweli mpira unapofika kwenye penalt hakuna ujuzi...hata mzee Punch mwenyewe anaweza kukosa kwa presha kupanda na kushuka.
 
Si niliwaambia SImba DADA tuuu hahaha kakubali MBAO 3 hahahahahahahahaha
 
Kwenye Penati hakuna Ufundi hata akipewa Mzee Punch nae anaweza kukosa kwa presha..Kocha anakazi ya kuwaanda vijana kwenye upigaji wa mikwaju ya penalti..
 

I predicted this scoreline though Yanga won on penalties
 
afadhari nimekuona nimepata nuru njema haijalishi kama wewe simba or yanga

Thanx FL1 mizunguko ya Kimaisha inakeep distance na Ndugu, Jamaa na Marafiki

Naona leo Kandambili katafuna Mnyama, Hongereni Yanga tunawasubiri kwenye Ligi kuu
 
am SIMBA FAN.....! sishangazwi wala sichanganywi na matokea ya ngao ya hisani...!
 
Yanga timu, funga hao Simba 3-1, tumalize 'uteja' uliojengeka ktk siku za hvi karibuni...!

I got it right....tumeanza kufuta uteja taraaaaaaaatibu...!
 
I predicted this scoreline though Yanga won on penalties
Kwa sisi wengine ambao ni neutrals matokeo haya ni ahueni kubwa maana hawa "hayawani" huwa wakishinda, huku mitaani (na hata maofisini) ustaarabu kwishnei.
 
Makocha wa Simba walikuwa 4
1.Kocha mkuu Piritoni
2.Kocha wa kukodi Mziray
3.Kocha msaidizi Amri Said
4.Kocha msaidizi Matola
Dhidi ya kocha mmoja wa Yanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…