Yanga v/s Stand uwanja wa Taifa

Hili swala la upigaji penalt inabidi kocha alivalie njuga
Kwakweli kwenye suala la penalt Yanga huwa sina imani kabisa.
Na hili ni tatizo la miaka mingi...nafikiri hili ni tatizo la kisaikolojia zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…