Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh Teh Teh Teh Teh Teh!! Team mikia buanakipa la stand fala sana
Yote matatu katupia yeyeKatupia Chirwa
du...noma!wafungaji wa 5 wanaongoza VPL ni
Msuva Yanga goli 10
Tambwe Yanga goli 9
Kichuya Simba goli 9
Ngoma Yanga goli 8
Chirwa Yanga goli 8
Yaani hapa ndo utajua kuwa yanga hainamfungaji mmojawafungaji wa 5 wanaongoza VPL ni
Msuva Yanga goli 10
Tambwe Yanga goli 9
Kichuya Simba goli 9
Ngoma Yanga goli 8
Chirwa Yanga goli 8
...kama chama la Liverpool!Yaani hapa ndo utajua kuwa yanga hainamfungaji mmoja
Ya kweli hayo?Yanga 4 stand 0
Wakamueni tuuuu maana hakuna namna. Wamezidi sana kiherehereYa kweli hayo?
Yeah,la nne kafunga Cannavaro kwa kichwa kupitia mpira wa kona.Ya kweli hayo?
Kwakweli kwenye suala la penalt Yanga huwa sina imani kabisa.Hili swala la upigaji penalt inabidi kocha alivalie njuga
tulia ww[emoji12] [emoji12]Teh Teh Teh Teh Teh Teh!! Team mikia buana
Safii sanaYeah,la nne kafunga Cannavaro kwa kichwa kupitia mpira wa kona.