mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
😂😂😂Naona wana Simba mnajarbu kutuamisha kwenye Ngumi za kagere vs kishingo,,,,,,,,,,Msitusumbue Wanachi msimu huu tuna jambo letuHabari zinadai muunguja hataki kwenda mazoezini hadi alipwe chake je kuna ukweli juu ya hilo?
Means yanga wanadaiwa bado?
Gsm kazi yao IPI?
Source ni facebook pages za wanayanga
Mazoezini hajaenda anadai wewe😂😂😂Naona wana Simba mnajarbu kutuamisha kwenye Ngumi za kagere vs kishingo,,,,,,,,,,Msitusumbue Wanachi msimu huu tuna jambo letu
Download application ya wananchi ushuhudie brotherMazoezini hajaenda anadai wewe
Au wewe ulimuonaaaa?
Itasababisha simu ianze kustackDownload application ya wananchi ushuhudie brother
Hata Mimi naamini ni propaganda tu...Naona kuna ligi nyingine ya "negative publicity " iliyoasisiwa na Haji Manara lakini hataki timu yake iguswe!!!
Hizo za Simba na Leo ya Yanga zote ni uzushi, usajili na ligi zimeingia kipindi kibaya Cha uchaguzi.[emoji23][emoji23][emoji23]Naona wana Simba mnajarbu kutuamisha kwenye Ngumi za kagere vs kishingo,,,,,,,,,,Msitusumbue Wanachi msimu huu tuna jambo letu
Baada ya babu kagere kugombana na kishingo nao wameamua kuja na hii ili kubalanceKama ni kweli anamdai mwajiri wake, ni haki yake kudai. Ni mchezaji anayestahili kuheshimiwa sana kutokana na kiwango chake.
Na iwapo hiki ulichokiandika ni tetesi tu, basi uwe makini maana wananchi msimu huu tuna jambo letu, hivyo tusingependa kabisa kuwafagilia watu wa aina yenu.
Mkataba wa GSM pale Yanga ni kuhusu jezi tu, hayo mengine anayafanya akipendaGsm kazi yao IPI?
Kang'ata.....[emoji13][emoji13][emoji13]Isitoshe nasikis kazichapa na muangola sijui mnani huko...kale kadogo dogo ambako hata kona hakawezi kufikisha kwenye goli!
Mmoja kang'ata mwenzie...
[emoji23][emoji1787][emoji1787]Isitoshe nasikis kazichapa na muangola sijui mnani huko...kale kadogo dogo ambako hata kona hakawezi kufikisha kwenye goli!
Mmoja kang'ata mwenzie...
Yanga choka mbaya jezi za kwenye mechi na za mazoezini ni hizo hizo sijui wanakwama wapi?Huyu hapa fei akiwa anaenda mazoezini leo.
Katungeni jingine.View attachment 1557699