Yanga vs Fei Toto kuna amani kweli?

Yanga vs Fei Toto kuna amani kweli?

Status
Not open for further replies.

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,307
Reaction score
12,410
Habari zinadai muunguja hataki kwenda mazoezini hadi alipwe chake je kuna ukweli juu ya hilo?

Means yanga wanadaiwa bado?

Gsm kazi yao IPI?

Source ni facebook pages za wanayanga
 
Kama ni kweli anamdai mwajiri wake, ni haki yake kudai. Ni mchezaji anayestahili kuheshimiwa sana kutokana na kiwango chake.

Na iwapo hiki ulichokiandika ni tetesi tu, basi uwe makini maana wananchi msimu huu tuna jambo letu, hivyo tusingependa kabisa kuwafagilia watu wa aina yenu.
 
Habari zinadai muunguja hataki kwenda mazoezini hadi alipwe chake je kuna ukweli juu ya hilo?

Means yanga wanadaiwa bado?

Gsm kazi yao IPI?

Source ni facebook pages za wanayanga
😂😂😂Naona wana Simba mnajarbu kutuamisha kwenye Ngumi za kagere vs kishingo,,,,,,,,,,Msitusumbue Wanachi msimu huu tuna jambo letu
 
Isitoshe nasikis kazichapa na muangola sijui mnani huko...kale kadogo dogo ambako hata kona hakawezi kufikisha kwenye goli!
Mmoja kang'ata mwenzie...
 
Izi habari akiziona yule mtangazaji wa w fm Y. Mkelu au lid khanga ah hawatoruka nazo hewani mnajisumbua nyie
 
😂😂😂Naona wana Simba mnajarbu kutuamisha kwenye Ngumi za kagere vs kishingo,,,,,,,,,,Msitusumbue Wanachi msimu huu tuna jambo letu
Mazoezini hajaenda anadai wewe
Au wewe ulimuonaaaa?
 
Huyu hapa fei akiwa anaenda mazoezini leo.
Katungeni jingine.
Screenshot_20200903-185302.png
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Naona wana Simba mnajarbu kutuamisha kwenye Ngumi za kagere vs kishingo,,,,,,,,,,Msitusumbue Wanachi msimu huu tuna jambo letu
Hizo za Simba na Leo ya Yanga zote ni uzushi, usajili na ligi zimeingia kipindi kibaya Cha uchaguzi.
 
Kama ni kweli anamdai mwajiri wake, ni haki yake kudai. Ni mchezaji anayestahili kuheshimiwa sana kutokana na kiwango chake.

Na iwapo hiki ulichokiandika ni tetesi tu, basi uwe makini maana wananchi msimu huu tuna jambo letu, hivyo tusingependa kabisa kuwafagilia watu wa aina yenu.
Baada ya babu kagere kugombana na kishingo nao wameamua kuja na hii ili kubalance
 
Yaani jamii forum imevamia na uzushi unaotoka Facebook, wajinga flani wanaamua kujiandikia tu kujisikia
 
Isitoshe nasikis kazichapa na muangola sijui mnani huko...kale kadogo dogo ambako hata kona hakawezi kufikisha kwenye goli!
Mmoja kang'ata mwenzie...
Kang'ata.....[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Isitoshe nasikis kazichapa na muangola sijui mnani huko...kale kadogo dogo ambako hata kona hakawezi kufikisha kwenye goli!
Mmoja kang'ata mwenzie...
[emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom