Yanga vs Kaizer Chief ilikuwa mechi ya kuuzia jezi na kuujaza uwanja wa Mkapa trh 4

Yanga vs Kaizer Chief ilikuwa mechi ya kuuzia jezi na kuujaza uwanja wa Mkapa trh 4

Kipindi hiki cha preseason na usajili Mzee wetu Mangungu kaongezeka kilo na amenawiri sana, kuanzia tarehe 8 August mtaanza tena kumkondesha ila sisi mashabiki na wanachama wa Yanga tumeapa hatutakubali huo upuuzi tena tutamlinda na kumtetea Mzee wetu kwa nguvu zote maana haiwezekani kipindi hiki cha usajili sifa na pongezi zote anapewa Mwamedi.
 
Kaizer chief hata Liwale FC hawaifungi, quality ya wachezaji na namna wanavyocheza unaona kabisa pale hakukuwa na ball.

Shabiki mmoja tang asbh kashika bango likisema Even Jesus can not save Kaizer Chief.

Mmefanikiwa sana, jezi mtauza na uwanja mtajaza trh 4.

Fanyeni kila mnaloweza lkn this time lazima tuwazike
Mkuu wewe una Roho ya Paka.
Kwani Huogopi kabisa??
 
Kauli kama hizi ndo hutupa mzuka tukawapiga makolo bakora khamsa ishirini!

Kaizer Chiefs ni timu kubwa Africa ina kocha mkubwa Nabi, kilichotokea leo ni kuzidiwa tu uwezo na Yanga kama nanyi mlivyozidiwa 5-1. Yanga inakaba kama ugomvi hawataki mpinzani awe na mpira maana ni mali yao!!

Nyie mbumbumbu tieni maji tarehe 8 nanyi mtafikiwa na tutawapiga kama ngoma, labda mkimbie!!
 
Tumewalipia kisasi chenu
View attachment 3055252
Screenshot_20240728_230720_Chrome.jpg


 
Mwenge uwa auvuki Kijiji zamu yenu inakuja ndio utajua Kama wamepigwa kihalali ama wamekutana na timu Bora, akili zitawakaa sawa tu
Wakipigwa huwa wanasema wameuza mechi..!! Wajiandae kumtimua kocha..!!
 
Ila Mashabiki Wasimba Nimewachoka😂🥹.. wakifungwa Wenzao ohhh tumenunua Mechi.. wakifungwa wao Ohhh Wachezaji wetu wameuza Mechi😭😭 Basi Yanga Hatuna uwezo wa Kucheza tunatoa hela Nyingi kununua Mechi🥶🥶
 
Back
Top Bottom