Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Wavaa sanda acheni kuweweseka zamu yenu itafika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Mamelodi ambao ndio vinara wa ligi ya Afrika kusini kwa misimu 6 mfululizo pia wakiwa ni timu tishio kwenye soka la Afrika walishindwa Nini kupata ata goli moja mbele ya yanga mechi zote 2? Mamelodi Kama walishindwa vipi kaizer chief ndio angeuweza mziki wa yanga? Muwe mnakubali ubora wa wenzenu wanapokuwa wamewazidi na mjifunze sio unakuwa na tabia Kama za wachawi!Unajua Kaizer Chiefs hii ilikuwa inapambana isicheze play off? Yaani hata ile Galax mliyocheza nayo ilimaliza juu ya Kaizer Chiefs
View attachment 3055628
Kwahiyo Simba shida itakuja kuwa ni watoto wa miaka 20. Wasiokimbiza wazee wa Yanga??Kaizer ile utaifananisha na hiki kikosi cha watoto wa miaka 17 mlichocheza nacho katika bonanza la leo?
Kaizer ile utaifananisha na hiki kikosi cha watoto wa miaka 17 mlichocheza nacho katika bonanza la leo?
Kaizer ile utaifananisha na hiki kikosi cha watoto wa miaka 17 mlichocheza nacho katika bonanza la leo?
Huyo kinara wa Africa Kusini raundi zake za CAFCL huwa ni zile, yaani robo robo nyingi na nusu nusu kadhaa. Kwa hiyo pale mlipokutana naye ndio huwa anatolewa, kwa hiyo mlifanya uzembe kushindwa kumtoa alipozoea kutolewaNa Mamelodi ambao ndio vinara wa ligi ya Afrika kusini kwa misimu 6 mfululizo pia wakiwa ni timu tishio kwenye soka la Afrika walishindwa Nini kupata ata goli moja mbele ya yanga mechi zote 2? Mamelodi Kama walishindwa vipi kaizer chief ndio angeuweza mziki wa yanga? Muwe mnakubali ubora wa wenzenu wanapokuwa wamewazidi na mjifunze sio unakuwa na tabia Kama za wachawi!
Mwanangu siku hizi unajua kuwakera hadi raha🤣Tumewalipia kisasi chenu
View attachment 3055252
We mpiraumeanza kushabikia juzi si ndio! Ile ilikua timu imekamilika na yenye wachezaji bora.Tumewalipia kisasi chenu
View attachment 3055252
Usijifanye unanijua sana!We mpiraumeanza kushabikia juzi si ndio!
Ndio Ukweli Ephen,Hata Simba inajificha tu huko kucheza sijui na Telecom, mbungi ikianza bongo tutaita maji mma.Usijifanye unanijua sana!
Subiri tar 8! Usiongee sana unanitemea mateNdio Ukweli Ephen,Hata Simba inajificha tu huko kucheza sijui na Telecom, mbungi ikianza bongo tutaita maji mma.
Natafuta utelezi dadaSubiri tar 8! Usiongee sana unanitemea mate
7-2 sijawahi kusikiaNikweli kabisa, Yanga huwa inagawa dozi kulingana na hali ya mgonjwa. Kuna timu moja ililambwa 7-2 huko Africa ya mashariki. Ukitaka kuifunga Yanga agiza timu toka ujerumani
Ihefu ni ya Ujerumani au Mbarali?Ukitaka kuifunga Yanga agiza timu toka ujerumani
Je Simba kupigwa 5 naye alikuwa anauza jezi au hana kiwango?Kaizer chief hata Liwale FC hawaifungi, quality ya wachezaji na namna wanavyocheza unaona kabisa pale hakukuwa na ball.
Shabiki mmoja tang asbh kashika bango likisema Even Jesus can not save Kaizer Chief.
Mmefanikiwa sana, jezi mtauza na uwanja mtajaza trh 4.
Fanyeni kila mnaloweza lkn this time lazima tuwazike
Hakuna timu ambayo haijawahi kupigwa 5, tena timu nyingine zilipigwa 5 kwa bila.Kauli kama hizi ndo hutupa mzuka tukawapiga makolo bakora khamsa ishirini!
Kaizer Chiefs ni timu kubwa Africa ina kocha mkubwa Nabi, kilichotokea leo ni kuzidiwa tu uwezo na Yanga kama nanyi mlivyozidiwa 5-1. Yanga inakaba kama ugomvi hawataki mpinzani awe na mpira maana ni mali yao!!
Nyie mbumbumbu tieni maji tarehe 8 nanyi mtafikiwa na tutawapiga kama ngoma, labda mkimbie!!
Mamelody Sandowins badala ya kutufunga sisi tukawafunga waoNa Mamelodi ambao ndio vinara wa ligi ya Afrika kusini kwa misimu 6 mfululizo pia wakiwa ni timu tishio kwenye soka la Afrika walishindwa Nini kupata ata goli moja mbele ya yanga mechi zote 2? Mamelodi Kama walishindwa vipi kaizer chief ndio angeuweza mziki wa yanga? Muwe mnakubali ubora wa wenzenu wanapokuwa wamewazidi na mjifunze sio unakuwa na tabia Kama za wachawi!
Mlipo pigwa 👋 mlikua nafasi ya ngapi CAF?We mpiraumeanza kushabikia juzi si ndio! Ile ilikua timu imekamilika na yenye wachezaji bora.
Umekuja kucheza ka K Chief ya 28 kwa CAF ranks afrika.SA ni ya 10.Imecheza mechi 30 point 36. Tuliza kitenesi binti
😂 😂😂Nikweli kabisa, Yanga huwa inagawa dozi kulingana na hali ya mgonjwa. Kuna timu moja ililambwa 7-2 huko Africa ya mashariki. Ukitaka kuifunga Yanga agiza timu toka ujerumani
jamaa anaongelea kuwazika wananchi, amesahau kuwa yeye ndio kavaa sanda.Mwenge uwa auvuki Kijiji zamu yenu inakuja ndio utajua Kama wamepigwa kihalali ama wamekutana na timu Bora, akili zitawakaa sawa tu