Aeronautical
JF-Expert Member
- Jun 19, 2019
- 217
- 396
- Thread starter
-
- #21
Hujanielewa kiongozi, mimi nazungumzia kati yetu na Simba sio wengine. Hao wengine mie hawanihusu, mie safari hii ni mimi na nyie mikiaHapo ndipo UNYANI wako ulipo. Azam ana points ngap? Dodoma mji ina points ngap?. YULE COACH WALA HAKUKOSEA
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Huwez weka ushindan wa LIGI kwa simba tu. Mwisho wa msimu hakuna ubingwa na hilo ndio tatzo la MINYANI FC. Weka ushindan kwa timu zooooteHujanielewa kiongozi, mimi nazungumzia kati yetu na Simba sio wengine. Hao wengine mie hawanihusu, mie safari hii ni mimi na nyie mikia
SafiKila la kheri mbeya city
Yanga 0- 1 mbeya city
Goli said chidebela
Dua kama hizi Mungu huzitupilia mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kila la kheri mbeya city
Yanga 0- 1 mbeya city
Goli said chidebela
Ubingwa wa Tanzania ukimzidi point Simba au Yanga basi una asilimia 99 ya kutwaa ubingwa, hao wengine mbio ndefu hawaziweziHuwez weka ushindan wa LIGI kwa simba tu. Mwisho wa msimu hakuna ubingwa na hilo ndio tatzo la MINYANI FC. Weka ushindan kwa timu zoooote
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Asee nimeamini kweli kuna watu wana roho ngumu ata ya kumuua mzazi wakeKila la kheri mbeya city
Yanga 0- 1 mbeya city
Goli said chidebela
Mwambusi ananikera sana analeta ushikaji kasekeeee hats mwadui anaanzia bench et Leo kasekeeee kawa captain wa yanga hii ni aibu sanaNi kweli kabisa Farid ana uwezo mkubwa sana kuliko Kaseke. Kaseke anaweza akacheza vizuri dakika 10 alafu dk 80 akaharibu au akacheza vizuri mechi 3 akaharibu 10
Kama morsonYule dogo white ( Carlinho) mlimsajili awe anakaa benchi tu? Previous match alibaki Sub mpaka game inaisha hajacheza na leo tena anabaki sub sasa itajulikana vipi kama nae ni mkali au kiazi tu
Nenda kwenye facts. Yanga game zote imecheza wap? Ktk uwanja gan? Vip na simba amecheza wap? Ktk viwanja gan pia?Mbeya City kakaza. Ikiisha hivi itakuwa balaaa utopoloni.
Ila haiondoi ukweli kwa mechi 2 hizi Yanga wapo vizuri kuliko Simba. Simba haina kocha
Kaka sijaona uzuri wa yanga wanarukaruka tu huoni mipango ya goliMbeya City kakaza. Ikiisha hivi itakuwa balaaa utopoloni.
Ila haiondoi ukweli kwa mechi 2 hizi Yanga wapo vizuri kuliko Simba. Simba haina kocha