Yanga vs Mbeya city live: 13/9/2020

Yanga vs Mbeya city live: 13/9/2020

Huwez weka ushindan wa LIGI kwa simba tu. Mwisho wa msimu hakuna ubingwa na hilo ndio tatzo la MINYANI FC. Weka ushindan kwa timu zoooote

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Ubingwa wa Tanzania ukimzidi point Simba au Yanga basi una asilimia 99 ya kutwaa ubingwa, hao wengine mbio ndefu hawaziwezi
 
Mwambusi acha kumbeba kasekeeee anapaswa kuanzia bench.unaleta ushikaji kwenye team yetu sio,tutolee Hugo kijana wako weka farid musa, kwanini mwambusi unatukera kiasi hiki ndugu lakini
 
Ni kweli kabisa Farid ana uwezo mkubwa sana kuliko Kaseke. Kaseke anaweza akacheza vizuri dakika 10 alafu dk 80 akaharibu au akacheza vizuri mechi 3 akaharibu 10
Mwambusi ananikera sana analeta ushikaji kasekeeee hats mwadui anaanzia bench et Leo kasekeeee kawa captain wa yanga hii ni aibu sana
 
Yule dogo white ( Carlinho) mlimsajili awe anakaa benchi tu? Previous match alibaki Sub mpaka game inaisha hajacheza na leo tena anabaki sub sasa itajulikana vipi kama nae ni mkali au kiazi tu
Kama morson
 
Wananchi funga hao manispaa,kuna kenge nyekundu inachonga hapa
 
Mapumziko 0 kwa 0, Mbeya city wanaupiga Kama vile wao waliopigwa goli 4 na KMC
 
Back
Top Bottom