Umesema kwel.Kaka sijaona uzuri wa yanga wanarukaruka tu huoni mipango ya goli
Sent from my SM-G530T using JamiiForums mobile app
Mnaongoza nini?Mikia vipi bado tu hamjaona lango kwahiyo mechi 2 point 2😂😂😂
uwanja mbovu timu zote 2 zinatumia huo uwanja. uwanja mzuri timu zote zinatumia advantage. ndio maana Mbeya City wanatumia hiyo advantage kuwazuia utopoloNenda kwenye facts. Yanga game zote imecheza wap? Ktk uwanja gan? Vip na simba amecheza wap? Ktk viwanja gan pia?
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Mkuu ata sisi bado hatuko vizuri, labda tuone tukicheza dar inakuajeHawa yanga oct 18 tutawatanyisha..
Yanga wanacheza kati tu mbele hakuna mipangonimesema ukilinganisha na Simba,maana hata wao sikuona mipango ya goli ila angalau Yanga wanapiga pasi
Bila bilaMatokeo vipi jaman
Duh Presha tupu.naona wamepata goli Yanga,wamefurahi
Unasemaje:Mikia vipi bado tu hamjaona lango kwahiyo mechi 2 point 2😂😂😂
Kwa hio yanga na usajili wao na KMC na usajili wao imekaa je?naona wamepata goli Yanga,wamefurahi
Huruma yenu nyie mikiaDuuh hadi huruma