Yanga vs Mbeya city live: 13/9/2020

Yanga vs Mbeya city live: 13/9/2020

Mikia vipi bado tu hamjaona lango kwahiyo mechi 2 point 2😂😂😂
 
Hii ligi ya msimu huu Ni ngumu jamani....

Yaani tutoe SULUHU na Wanyakyusa Uwanja wa nyumbani?!!

Daaah ..Tupambane tushinde kwà kweli..
 
Back
Top Bottom