brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamatopeni bhana! Dua zenu zimeenda mrama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamatopeni bhana! Dua zenu zimeenda mrama?
daima mbele nyuma mwikoYanga Sports Club International
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamatopeni leo wanaenda kumbongolea mwarabuuuuuu
We unadadili za ....Nyoso liasis!Ugonjwa mwingine mbaya.........uume umeninsimama mwanzo hadi mwisho wa mechi sababu ya presha. Heri tumeshinda
Washawahi guest bubu na mwarabuuuHaters wa Yanga wako wapi?
Leo utajinyonga kwa big GMo bejaia wananiangusha sana leo. Walitakiwa waibamize yebo 2-1 au 3-1
Kwa hiyo munishi alicheza peke yake na goli kafunga yeye! Sijui bila munishi ingekuwaje?Yanga bila Munish sijui ingekuwaje!
Nyie wenye good marking mko mashindano gani?Yanga kuna makosa ambayo huwa yanajirudia. Ukiangalia magoli yote waliyofungwa katika mashindano haya yanafanana.......poor marking.
Utamlinganisha na mzee wa hiriz a.k.a power bank?Hakuna mchezaji pale.!
Na bado! Jumatano tunajipigia ka_Azam kwenye ngao ya Jamii baada ya hapo tunajiandaa kwenda Lubumbashi kuwaduwaza TP Mazembe kwa kuwafunga kwao pia.Wamatopen leo walivyokas uwanjan km wamemwagiwa maji ya baridi..unafiki wao kweshilia mbali
Pape Nd'aw wa Ivory Coast!Utamlinganisha na mzee wa hiriz a.k.a power bank?