Azam hana shida kabisaNa bado! Jumatano tunajipigia ka_Azam kwenye ngao ya Jamii baada ya hapo tunajiandaa kwenda Lubumbashi kuwaduwaza TP Mazembe kwa kuwafunga kwao pia.
Ndo kazi yake Ile, yuko langoni kwa ajili hiyo.. Sasa ukisema bila yeye ndo nn!Yanga bila Munish sijui ingekuwaje!
Muaivory coast wa simba,pape ndaw ,jituuu lirefuuuuu mpira halijuiMzee wa hirizi ni Nani?
wa niniChirws tumeshikishwa
Hahahaah pole sana
Kaseke Leo hayupo vizuri
Sawa mkuu hongereni wanayanga kwa ushindi wa leoLeo utajinyonga kwa big G
Ugonjwa mwingine mbaya.........uume umeninsimama mwanzo hadi mwisho wa mechi sababu ya presha. Heri tumeshinda
Sasa wewe pale Munish yupo yanga kwa ajili ya kuuza sura au kama huna cha kuandika si unasoma tu post za wenzio ungeenda wewe badala yake.Yanga bila Munish sijui ingekuwaje!
mkuu, naona umeamua kujitoa ufahamu tu ...Sasa wewe pale Munish yupo yanga kwa ajili ya kuuza sura au kama huna cha kuandika si unasoma tu post za wenzio ungeenda wewe badala yake.
Shukran mtaniHongereni Yanga