Yanga Vs Mo Bejaia: Yanga yashinda 1 - 0 Mo Bejaia

Yanga Vs Mo Bejaia: Yanga yashinda 1 - 0 Mo Bejaia

Ugonjwa mwingine mbaya.........uume umeninsimama mwanzo hadi mwisho wa mechi sababu ya presha. Heri tumeshinda

Mkuu tungefungwa leo ndo kabsaaaa ungelegea milele, shukuru mungu tumeshinda[emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3][emoji23][emoji3]
 
Yanga bila Munish sijui ingekuwaje!
Sasa wewe pale Munish yupo yanga kwa ajili ya kuuza sura au kama huna cha kuandika si unasoma tu post za wenzio ungeenda wewe badala yake.
 
Sasa wewe pale Munish yupo yanga kwa ajili ya kuuza sura au kama huna cha kuandika si unasoma tu post za wenzio ungeenda wewe badala yake.
mkuu, naona umeamua kujitoa ufahamu tu ...
 
Back
Top Bottom