Yanga Vs Mo Bejaia: Yanga yashinda 1 - 0 Mo Bejaia

Yanga Vs Mo Bejaia: Yanga yashinda 1 - 0 Mo Bejaia

Yaan uwa nashangaa wanaumwa nn hawa jamaa
Unakuta jitu liko na kipa tuu linakosa
Yaani game ya wale jamaa ilikuwa yetu kabisa chirwa alikosa bao kama mbili ngoma nae hali kadhalika kunakuwa na kigugumizi flan hivi au kama wanakuwa na gumbiz flan
 
Mikia walijitamba mno eti kiatu chake ni mtambo wa magoli kama wanavyo msifia Mavugo
Mkuu umeamua kunivunja mbavu kile kiatu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwe mtambo wa mabao.

Kiatu kimeisha kimepigwa vilaka kinyama,eti ndo mtambo wa mabao.
 
Waseme timu imeuzwa au imekodiwa Timu apewe Manji, apewe Dr. Mwaka haijalishi tunachotaka ni ushindi
 
Mkuu umeamua kunivunja mbavu kile kiatu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwe mtambo wa mabao.

Kiatu kimeisha kimepigwa vilaka kinyama,eti ndo mtambo wa mabao.

Jamaa walikuwa wanatetea kwa nguvu zote eti kina control akivaa kipya control anapoteza power bank ya kiunoni iliwaumbua Mikia.
 
Jamaa walikuwa wanatetea kwa nguvu zote eti kina control akivaa kipya control anapoteza power bank ya kiunoni iliwaumbua Mikia.
Hahahahaha! Yule jamaa atakuwa alitokea senegal uswahilini.
 
Mzee wa hirizi ni Nani?
Pape Nd'aw: Mshambuliaji hatari wa Simba SC kutoka Ivory Coast. IMG-20151022-WA0013.jpg
IMG-20151022-WA0013.jpg
 
Back
Top Bottom