Yanick Bangala mtu sana cha kushangaza anaanzia benchi😂Kwanini kocha asifanye sub, huyu si msomi sana, kiungo ya yanga imepotea, kwanini asiingie either yule mburundi au kaseke au bangala
Nini ukooo!?Gooooooool yamepigwaaa huku
Imeisha hioHii game tunamaliza second half
Jamani wanaYanga wanaijadili hii Mechi kwenye Uzi upi? nawatafuta
Sisi wananchi tunaonewa na tff