Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Tunasubiri goli la piliUyo mtoto anaeingia ndo nuksi tupu,ajawai kucheza bila kufunga goli,namjua vizuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunasubiri goli la piliUyo mtoto anaeingia ndo nuksi tupu,ajawai kucheza bila kufunga goli,namjua vizuri sana.
Ila siyo mbaya leo tupo ugenini wakija kwa mkapa hawatoki hawa Rivers United.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Ahahaha🤣🤣 samahani mkuu..Ila Bora refa amalize Mpira tupunguze aibu Kwa taifaUsifananishe Biashara na vitu vya kijinga.....
Shida yanga walijiaminisha katika propaganda na sio.mipango dhahiriTulia hizo za Nigeria.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vimba mwananchi ,vimba "champion is back ".....hahahahahaha
Kazingua hadi basi, nafasi kama hizo huku klabu bingwa hazijirudii kabsa, ukipata chance tumia, yeye kaleta ufalaNmezima had tv
Mpuuzi huyu
Tuone kauli mbiu za Manara zifunge magoli[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukitolewa round ya awali hauwezi kwenda Shirikisho. Unarudi Nyumbani asubuhi tu.Ila Mimi naona Bora Yanga mtolewe mapema Tu mpelekwe shirikisho.. kule ndiyo saizi yenu,huku mngemwachia biashara FC
Labda champion ya vibwengo.Vimba mwananchi ,vimba "champion is back ".....hahahahahaha
Hakika hapa ndipo tutajua ukweli leoTuone kauli mbiu za Manara zifunge magoli
Ngapo ngepi?Yanga Wanajua Kutupa Raha Yaani.
Mungu Fundi Sana Yaani.
Eti Kawaonyesheni Mlivyo Wakubwa Kweli Kweli Lol!
😂😂😂😂😂💥
Tunasubiri toleo mpya ya Mama J kupoteza upepoAisee sijaona Yanga ya kushindana na Simba.. bado sana..
Mechi ya home unashindwa kutia mabao unapapasa matako.. shenzi
Mmejaza kunguru uwanjani ili mshinde, rudi mmeshakalia kitu cha ncha kaliHii game tunashinda kabisa
Nitarudi Baada ya game
Kwa Mkapa hatoki mtu ni kazi ya Mnyama hawa misukule hawaiwezi.Aisee sijaona Yanga ya kushindana na Simba.. bado sana..
Mechi ya home unashindwa kutia mabao unapapasa matako.. shenzi