Hawa wanigeria wangekua serious goals zipo nyingiAisee sijaona Yanga ya kushindana na Simba.. bado sana..
Mechi ya home unashindwa kutia mabao unapapasa matako.. shenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanigeria wangekua serious goals zipo nyingiAisee sijaona Yanga ya kushindana na Simba.. bado sana..
Mechi ya home unashindwa kutia mabao unapapasa matako.. shenzi
Hakika. [emoji1683][emoji1683][emoji1683]Kwa Mkapa hatoki mtu ni kazi ya Mnyama hawa misukule hawaiwezi.
Nawe Umewaona Wako Wengi, Ila Naona Bado Hawana Msaada.Mmejaza kunguru uwanjani ili mshinde, rudi mmeshakalia kitu cha ncha kali
Usijali..Atakupa matokeo manara kwenye media tour kuanzia keshoNmezima had tv
Mpuuzi huyu
Kocha msomi hahahaTuone kocha mwenye degree ya CAF aliyeitwa profesa eti ampe GOMEZ tuition daah
Wautoe huo mwiko huko nyumaIla siyo mbaya leo tupo ugenini wakija kwa mkapa hawatoki hawa Rivers United.
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
Haya maneno machafu watayameza yote.Tuone kocha mwenye degree ya CAF aliyeitwa profesa eti ampe GOMEZ tuition daah
Acha waisome na watakoma maana [emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu walikuwa wanaamini makele ya haji yanawapa ushindi simba haya tuone yawasaidie na huku
Wakizidi dharau saana bila kujua simba ndio imepigana leo wapo wanachezaHaya maneno machafu watayameza yote.
anatafuta muunganikoProfessor Nabi anasemaje?