Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Mpira unaujua kweli wewe? Unajua ni nini maana ya kujenga timu? Je unajua ni kwanini kasema anajenga tumu?
Naweza kuwa sielewi Mpira, lakini kwa uzoefu wangu wa kujenga nyumba, ninajua anachokifanya huyo kocha wa yanga hakina mahusiano kabisa na maswala ya ujenzi wa timu.
 
Kwani unaposema "ujenzi wa timu" maanake nini? Tuanze kwenye mzizi kwanza hili neno 'kujenga timu' ili tuone kama kuna uhusiano au hakuna uhusiano kwa kile anachokifanya kocha wa Yanga. Naomba niambie kitendo cha kujenga timu kinahusiana na mambo yapi?
 
vyura leo watashinda kuanzia 3 maana wanacheza na rivers(mito) team ambayo ni maeneo yao ya kujidai.
 
Kwani unaposema "ujenzi wa timu" maanake nini? Tuanze kwenye mzizi kwanza hili neno 'kujenga timu' ili tuone kama kuna uhusiano au hakuna uhusiano kwa kile anachokifanya kocha wa Yanga. Naomba niambie kitendo cha kujenga timu kinahusiana na mambo yapi?
Good Question.

Ukitaka nyumba ya kuishi unaweza kupanga, kununua, au kujenga?

sawa sio sawa?
 
View attachment 1934361

Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) leo watashuka kwenye dimba la uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na timu ya Rivers United katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya mashindano hayo

Baada ya mechi hii, timu hizo zitarudiana tarehe 19/09/2021 ili kuweza kupata mshindi atakayefuzu kwenye hatua inayofuata

Ungana nami nikikuletea kinachojiri katika mpambano huo

#RetunsOfChampions
Ninaiombea Yanga ushindi
 
Kila lenye kheri Dar es Salaam Young Africans na mabingwa wa muda wote wa Tanzania na Afrika Mashariki na Kati kwa ujumla katika mchezo wetu dhidi ya wana kimanumanu wa Nigeria
 
Uhalisia ni kwamba yanga leo atashinda kwa goli zisizo pungua mbili, ila ikitokea mkafungwa basi laleni mapemaaa maana kero mtakazo kutana nazo sio za nchi hii ..
 
Pigaaaa hao uto warud kuilaumu TFF🤣🤣
Anyway kila la kheri Young Africans Sports Club
 
Sasa wewe unaona Yanga, hasa chini ya kocha huyu, inajenga au inanunua timu?
Inajenga wala hainunui timu. Kwanini nimesema anajenga? Ni kwasababu kuna maingizo ya wachezaji wapya wengi zaidi ya watano, hawa wachezaji wapya na wa zamani waliosalia kwenye kikosi wamekaa pamoja kwa muda mfupi sana mpaka sasa hivyo bado hakuna maelewano baina ya wachezaji wapya na wa zamani hivyo hakuna muunganiko wa moja kwa moja baina yao. Kwenye mpira kuna kitu kinaitwa mfumo. Kocha anajua naingia na mfumo fulani ambao unaongozwa na mchezaji fulani. Huu mfumo ukigoma na switch mfumo mwingine kwa kumtoa fulani na kumeingiza fulani ili asaidiane na fulani na fulani asogee sehemu fulani.

Makocha wanatengeneza mifumo zaidi miwili kulingana na wachezaji walionao na utengeneze mifumo ni lazima umjue sifa na tabia za kila mchezaji ili ujue nani na nani wanaweza kutengeneza partnership. Msimu uliopita Yanga ilivyokuwa chini ya Kaze mwanzoni uliona hakukuwa na watu walielewana pamoja kwenye ushambuliaji lakini siku zilivyozidi kwenda kukatengeneza partnership kati ya Kaseke na Yacouba. Ndivyo mpira ulivyo ni lazima kuwe na muunganiko unaanzia kwenye wakabaji, viungo mpaka washambuliaji.
 
well, Inamaana mpaka msimu jana unaisha wachezaji waliokuwa na partnership ni Kaseke na Yocouba tu?
 
Back
Top Bottom