Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Rivers tumewaazima biriani letu wiki hii 🤣🤣🤣

Misukule wanautafuta kwa tochi
 
Duh. Wachezaji watano wa Rivers wamekutwa na Covid -19.

Hii mbinu ya vipimo vya Covid inaweza ikalipizwa na Rivers kule kwao.

Source;
African Sports today:
According to report from Tanzania 5 players and Official of Rivers United have been tested positive to Covid 19 less than 2 hours to kick off.
 
Duh. Wachezaji watano wa Rivers wamekutwa na Covid -19.

Hii mbinu ya vipimo vya Covid inaweza ikalipizwa na Rivers kule kwao.
Walikuwa wanawapigia kelele Simba last season leo yamewakuta, Yanga kuanzia nyumbani ni underdog.
 
Yanga kwanini mmewafanyia figisu vijana wa watu? Huu ni upuuzi kabsa
 
UPDATES

00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu.

03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers

05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa kuwapunguza msururu wa mabeki, juhudi zake zinaishia hewani.


=========

View attachment 1934361



Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) leo watashuka kwenye dimba la uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na timu ya Rivers United katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya mashindano hayo

Baada ya mechi hii, timu hizo zitarudiana tarehe 19/09/2021 ili kuweza kupata mshindi atakayefuzu kwenye hatua inayofuata

Ungana nami nikikuletea kinachojiri katika mpambano huo

#RetunsOfChampions

Kikosi Cha Yanga

1. Diarra
2. Kibwana
3. Adeyum
4. Job
5. Mwamnyeto
6. Mukoko
7. Jesus
8. Mauya
9. Makambo
10. Feisal
11. Yacouba
adeyum atafunga goli la kichwa kwenye kona, Yanga wanashinda 1 bila.
 
Back
Top Bottom