kipanta
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 925
- 1,086
NdiyoKwahyo kumbe rivers wanacheza Kikosi cha pili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NdiyoKwahyo kumbe rivers wanacheza Kikosi cha pili?
Nigeria wako vizuri sana kwa mbinu za nje ya uwanja. Watalipiza mara mbili. Yanga haiwezi kutoboa kwa mbinu kama hii.Yanga kwanini mmewafanyia figisu vijana wa watu? Huu ni upuuzi kabsa
Hatuwezi kufungwa wala kudroo mkuu, huo mto(river) unapigwa tu
Na hiki ni kikosi cha pili cha RiverGongowazi kimataifa bado sana, uko nyumbani unatawaliwa?
Sawa mkuuNitakurejea baada ya dk 90! Naomba usikimbie hapa tafadhari
Yes babe! Wewe ni Simba? If yes nakuacha[emoji3]
Nawaacha wote na wewe mwenyewe 😂Usimuache tafadhari najitolea kumcontrol asiwe anakutania sana hasa ukifungwa kama leo
Uto bora wangeomba kucheza shirikisho pamoja akina azam na biashara, level ya klabu bingwa bado hawajafika wataenda kudhalilishwa kule.Na hiki ni kikosi cha pili cha River
Weka na subsUPDATES
00' Kipenga kinapulizwa kuashiria mwanzo wa mchezo na Yanga inaanza kwa kushambulia lango la Rivers, hata hivyo shuti linapaa juuu.
03' Rivers wanafika lango la Yanga, Adeyum katika jitihada za kuokoa anagongana kichwa na mchezaji wa Rivers
05' Ukwa Nelson anaingia lango la Yanga kwa kuwapunguza msururu wa mabeki, juhudi zake zinaishia hewani.
=========
View attachment 1934361
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) leo watashuka kwenye dimba la uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na timu ya Rivers United katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya mashindano hayo
Baada ya mechi hii, timu hizo zitarudiana tarehe 19/09/2021 ili kuweza kupata mshindi atakayefuzu kwenye hatua inayofuata
Ungana nami nikikuletea kinachojiri katika mpambano huo
#RetunsOfChampions
Kikosi Cha Yanga
1. Diarra
2. Kibwana
3. Adeyum
4. Job
5. Mwamnyeto
6. Mukoko
7. Jesus
8. Mauya
9. Makambo
10. Feisal
11. Yacouba
Hahahaha kwa huu utumbo wanaofanya leo, Taifa litapata aibuUto bora wangeomba kucheza shirikisho pamoja akina azam na biashara, level ya klabu bingwa bado hawajafika wataenda kudhalilishwa kule.
Nawaacha wote na wewe mwenyewe [emoji23]