Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Naweza kuwa sielewi Mpira, lakini kwa uzoefu wangu wa kujenga nyumba, ninajua anachokifanya huyo kocha wa yanga hakina mahusiano kabisa na maswala ya ujenzi wa timu.Mpira unaujua kweli wewe? Unajua ni nini maana ya kujenga timu? Je unajua ni kwanini kasema anajenga tumu?
Kwani unaposema "ujenzi wa timu" maanake nini? Tuanze kwenye mzizi kwanza hili neno 'kujenga timu' ili tuone kama kuna uhusiano au hakuna uhusiano kwa kile anachokifanya kocha wa Yanga. Naomba niambie kitendo cha kujenga timu kinahusiana na mambo yapi?Naweza kuwa sielewi Mpira, lakini kwa uzoefu wangu wa kujenga nyumba, ninajua anachokifanya huyo kocha wa yanga hakina mahusiano kabisa na maswala ya ujenzi wa timu.
Sema wewe ni uto acha kujifichaUto leo kama kawa watawalaumu waamuzi na CAF baada ya mechi
Good Question.Kwani unaposema "ujenzi wa timu" maanake nini? Tuanze kwenye mzizi kwanza hili neno 'kujenga timu' ili tuone kama kuna uhusiano au hakuna uhusiano kwa kile anachokifanya kocha wa Yanga. Naomba niambie kitendo cha kujenga timu kinahusiana na mambo yapi?
Ninaiombea Yanga ushindiView attachment 1934361
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Dar es Salaam Young Africans (Yanga) leo watashuka kwenye dimba la uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na timu ya Rivers United katika mechi ya kwanza ya hatua ya awali ya mashindano hayo
Baada ya mechi hii, timu hizo zitarudiana tarehe 19/09/2021 ili kuweza kupata mshindi atakayefuzu kwenye hatua inayofuata
Ungana nami nikikuletea kinachojiri katika mpambano huo
#RetunsOfChampions
Ni sawa kwahiyo unataka kusemajeGood Question.
Ukitaka nyumba ya kuishi unaweza kupanga, kununua, au kujenga?
sawa sio sawa?
Uto kufa leo ni jambo lisilokwepeka...
Sasa wewe unaona Yanga, hasa chini ya kocha huyu, inajenga au inanunua timu?Ni sawa
Inajenga wala hainunui timu. Kwanini nimesema anajenga? Ni kwasababu kuna maingizo ya wachezaji wapya wengi zaidi ya watano, hawa wachezaji wapya na wa zamani waliosalia kwenye kikosi wamekaa pamoja kwa muda mfupi sana mpaka sasa hivyo bado hakuna maelewano baina ya wachezaji wapya na wa zamani hivyo hakuna muunganiko wa moja kwa moja baina yao. Kwenye mpira kuna kitu kinaitwa mfumo. Kocha anajua naingia na mfumo fulani ambao unaongozwa na mchezaji fulani. Huu mfumo ukigoma na switch mfumo mwingine kwa kumtoa fulani na kumeingiza fulani ili asaidiane na fulani na fulani asogee sehemu fulani.Sasa wewe unaona Yanga, hasa chini ya kocha huyu, inajenga au inanunua timu?
well, Inamaana mpaka msimu jana unaisha wachezaji waliokuwa na partnership ni Kaseke na Yocouba tu?Inajenga wala hainunui timu. Kwanini nimesema anajenga? Ni kwasababu kuna maingizo ya wachezaji wapya wengi zaidi ya watano, hawa wachezaji wapya na wa zamani waliosalia kwenye kikosi wamekaa pamoja kwa muda mfupi sana mpaka sasa hivyo bado hakuna maelewano baina ya wachezaji wapya na wa zamani hivyo hakuna muunganiko wa moja kwa moja baina yao. Kwenye mpira kuna kitu kinaitwa mfumo. Kocha anajua naingia na mfumo fulani ambao unaongozwa na mchezaji fulani. Huu mfumo ukigoma na switch mfumo mwingine kwa kumtoa fulani na kumeingiza fulani ili asaidiane na fulani na fulani asogee sehemu fulani.
Makocha wanatengeneza mifumo zaidi miwili kulingana na wachezaji walionao na utengeneze mifumo ni lazima umjue sifa na tabia za kila mchezaji ili ujue nani na nani wanaweza kutengeneza partnership. Msimu uliopita Yanga ilivyokuwa chini ya Kaze mwanzoni uliona hakukuwa na watu walielewana pamoja kwenye ushambuliaji lakini siku zilivyozidi kwenda kukatengeneza partnership kati ya Kaseke na Yacouba. Ndivyo mpira ulivyo ni lazima kuwe na muunganiko unaanzia kwenye wakabaji, viungo mpaka washambuliaji.