Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Natamani kumuona Khalid Aucho nae kwenye kiungo ili nimtathmini. (Akiruhusiwa hapoa baadae) Katika kipindi hiki cha kwanza, Zawadi Mauya na mwenzake Mukoko Tonombe wameishia tu kuutafuta mpira kwa tochi!

Nahodha wa timu pinzani ni wa sayari nyingine kabisa! I wish Yanick Bangala nae ataingia kuimarisha kiungo. Pengo la Shabani Djuma mzee wa kulazimisha mashambulizi, liko wazi.
 
Natamani kumuona Khalid Aucho nae kwenye kiungo. Naona Zawadi Mauya na mwenzake Mukoko Tonombe wanautafuta tu mpira kwa tochi!

Nahodha wa timu pinzani ni sayari nyingine kabisa! I wish Yanick Bangala nae ataingia kuimarisha kiungo.
Mkuu Kwa kiwango hiki mnachokionyesha leo,ugenini mnaenda Kula goli zaidi ya 3..jamaa wanatawala gemu Kama wapo kwao
 
Back
Top Bottom