Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Yanga ni ile ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa ni mashindano magumu,wakati Simba anakipiga msimu ulioisha walibeza sana wakasema Corona imeibeba Simba,haya sasa na wao wabebwe na Corona.CL Afrika ni ngumu wajameni..!
Tena buza kwa mpalange[emoji23][emoji23][emoji23] machampion ya buza
Hii Yanga yetu ni tamu sana! Sema tu muunganiko na ukosefu wa utulivu kwa wachezaji wetu, ndiyo changamoto.OKW BOBAN SUNZU naomba uwashtue hawa watani zetu Mgagaa na Upwa Tate Mkuu Kiranja Mkuu Miss Mbeya Jumbe Brown Deejay nasmile waje watuelezee kwanini wanaliabisha Taifa!
bado tutawachapa kwao apa tunafanya zoez tuSubiri kwanza..utarudi baada ya gemu alafu hapa kijiweni unamwacha Nani wakati wenzio wote wamekimbia[emoji1787][emoji1787]
uko sahihi mkuuKikundi tu masela mkuu au naongopa 🤣🤣
kasoro msemaji wa timu ameongezekaYanga ni ile ile
kicha sijuh aoni ayoKwanini kocha asifanye sub, huyu si msomi sana, kiungo ya yanga imepotea, kwanini asiingie either yule mburundi au kaseke au bangala
Hii hatua ukitolewa ndio bye bye hauendi shirikishoIla Mimi naona Bora Yanga mtolewe mapema Tu mpelekwe shirikisho.. kule ndiyo saizi yenu,huku mngemwachia biashara FC
Kubamberegesi,Return of the champions ya nyoko 😁😁😁
Yanga ina timu bora kabisa! Tutaenda kupindua meza kibabe kwenye mechi ya marudiano. No way out.Wewe na Yule wa kuitwa Tate Mkuu ndy viongozi wa kuisifia timu yenu
Naona leo mmekubali kwamba hamna timu..jamaa hawana huruma kabisa Kama HAMZA[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ahahah[emoji1787][emoji1787] sema Haki ya MUNGUHii hatua ukitolewa ndio bye bye hauendi shirikisho