Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Hivi na nyie mlio mpapalukia makambo mlitegemea kuwaona waarabu wajinga walivyomtema?
 
Mm sio mwana yanga ila yanga imeniharibia jion yangu.....

Still Tanzania BADO inakosa wachezaji aina yangu mm....siku Moja ntaweka uzi.. ..

I wish ningekua First 11 ya yanga leo....hakika furaha ingekua upande wetu.

Polen Sana yanga
 
Yanga tunayoijua sisi ndo hii ya kuanzia siku ya mwananchi na leo.

Tunashukuru tu round hii TFF wameziepuka lawama maana Manara kaamua kuzibeba
 
Back
Top Bottom