Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Ifike mahali vilabu vinavyoitia nchi aibu viadhibiwe kwa mujibu wa sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli lilipofungwa alifuta jashoProfessa kafa... nimemuona anakuna kichwa wakati ana kipara[emoji28][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ngoja kwanza tuwapige kwa Mkapa ngao ya jamii ndo mtaelewa kwamba hamkustahili kucheza cafcl.Kama kuna mechi ya marudianao hatujatoka tumo nyie Makolo FC
Mtu mmoja unakimbia na mpira huku umebeba mafuvu mia kidogo hizo mbio unazipata wapi??Ina maana pamoja na watu tuliokuwa nao kwenye jezi zetu bado tumefungwa?
Hapa inabidi tukate rufaa haiwezekani kabisa.
Mkibebwa Muwe Mnabebeka nyie Uto....! Sasa angalia mnaenda kuzipoteza nafasi 4 tulizowaletea.Kama kuna mechi ya marudianao hatujatoka tumo nyie Makolo FC
Wamsubirie instagram akawape maneno ya faraja, watulie waamini miujiza itatokea huko Nigeria.Kungekuwa na mashabiki leo wangemng'oa jino manara aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ivi marudiano tarehe ngap
bado sijafahamuIvi marudiano tarehe ngap
Hawa yanga ndio.wanasababisha tozo zinapandaIfike mahali vilabu vinavyoitia nchi aibu viadhibiwe kwa mujibu wa sheria
Manara anasemaje mkuu?Limekufa jituuuu
Jomba si kuna mechi ya marudianao?Mkibebwa Muwe Mnabebeka nyie Uto....! Sasa angalia mnaenda kuzipoteza nafasi 4 tulizowaletea.
Kenge mnajifahamu haina ubishi kuhusu hiloBado kuna mechi ya marudiano......au ww kenge
Hiyo mechi msijidanganye...Ngoja kwanza tuwapige kwa Mkapa ngao ya jamii ndo mtaelewa kwamba hamkustahili kucheza cafcl.