Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Manara kuna muda alijisahahu kuwa ye ni yanga, goli lilivyoingia nikamuona ameruka kanyanyua mikono juu, mabosi wake wakamaindi.Manara anasemaje mkuu?
na ugenini tunaenda na kauli mbiu gani kuwakabiri hawa vibonde? Au 'war in Abuja' ?
Jamaa cheko ikambana ikabidi avae barakoa achekee kwa ndani