Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Yanga vs Rivers United (0-1) | CAFCL | Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam

Manara anasemaje mkuu?

na ugenini tunaenda na kauli mbiu gani kuwakabiri hawa vibonde? Au 'war in Abuja' ?
Manara kuna muda alijisahahu kuwa ye ni yanga, goli lilivyoingia nikamuona ameruka kanyanyua mikono juu, mabosi wake wakamaindi.

Jamaa cheko ikambana ikabidi avae barakoa achekee kwa ndani
 
Huwa wana mikwara sana

3D3A9108-E0E7-4B33-B21F-3F1C640844FB.jpeg
 
pigaaa hao uto pigaaaa TFF wakebebe lawa😁😁
Ha! ha! kumbe wamepigwa ila uto bhana mambo gani haya
 
Mm sio mwana yanga ila yanga imeniharibia jion yangu.....

Still Tanzania BADO inakosa wachezaji aina yangu mm....siku Moja ntaweka uzi.. ..

I wish ningekua First 11 ya yanga leo....hakika furaha ingekua upande wetu.

Polen Sana yanga
Hivi Kaseke na Nchimbi ungempa namba yupo?
 
Kwa mara ya kwanza nimeona mechi leo kibendera anacheka wachezaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kunguru 30978

Anatoka top scorer wa timu anaingia most poor scorer wa timu afu benchi namuona kaseke analalamikalalamika
Sasa wewe kaseke ungeenda kufanya nini mule[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Rivers hawakutaka ushindi mnono counter zote wanaenda wachezaji 2 au mmoja
 
Back
Top Bottom