Yanga vs Simba April 18 2010

Simba wanapata bao la 3.

Yanga 2 - Simba 3

Dakika ya 73. Emmanuel Okwi kafunga
 
Hongereni watani kwa ushindi...Yanga kama Arsenal tu....wamefulia
 
Kazi kweli kweli mimi nipo nalia hapa jangwani:angry:

Ila nafarijika kwa kichapo cha Chelsea jana!
 
Hadi raha, heko Msimbazi, lindeni hilo goli ili tushangilie kombe letu kwa ushindi dhidi ya watani zetu
 
Ila hiyo mechi ni kali...vijana wamsimbazi wawe macho na ulinzi maana kandambili kweli kapania....
 
Amir Maftaha kapata kadi nyekundu kwa kumpiga kichwa Juma Nyoso
 
Wachezaji wa Yanga wamepewa kadi nyekundu wawili sasa. Naona nidhamu ni ndogo sana Jangwani 🙂
 
Ni 3 simba 2yanga mpaka sasa informer hakunieleza dk maana kelele kibao uwanjani
 
du, watani wamechoka kucheza mpira, wameamua kupania kuumiza wachezaji wetu. waache hiyo tabia sisi bado tunawakilisha nchi katika mashindano ya kimataifa!!
 
Hassana Mgosi anaelekea kunyakua golden boot maana peke yake mawili
 
wakuu mechi haijaisha tu?Hongera simba sc...sisi ndo wenye kuleta heshima hapa Tanzania tu.Watani poleni kwa kipigo..tumezingatia itifaki ya mwaka 2010 tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…