Yanga vs Simba April 18 2010

Yanga vs Simba April 18 2010

Wafungaji ni kina nani jamanii? Kwa misupu naona ni Uhuru, Mgosi, Mgosi na Echesa na Yanga ni Nurdin na Tegete kulikoni hapa hivo huyo Ngassa wao yumo?
 
Na MPIRA UMEKWISHA!

Simba wanaibuka na ushindi wa bao 4 kwa 3 za Yanga na wanatangazwa mabingwa leo hii 🙂

:cheer2:
 
Wafungaji ni kina nani jamanii? Kwa misupu naona ni Uhuru, Mgosi, Mgosi na Echesa na Yanga ni Nurdin na Tegete kulikoni hapa hivo huyo Ngassa wao yumo?

Goli la 4 la Simba limefungwa na Echesa
 
Tumejitahidi though(pamoja na kufulia).........4-3 na wawili wamepewa red sio mbaya....Hongereni watani
Pulizii mtani kupewa kadi nyekundu ni kutoka na wao kuzidiwa ndio maana wakacheza ndivyo sivyo. Kummpiga mweziyo kichwa siyo soka hiyo labda cage fighting.
 
Lol asavali lakini bado hawajanifuta maumivu ya arsena hawa
 
Kandambili leo alikuwa achapwe tu ...uwezo wa kumchapa tulikuwanao, sababu ya kumchapa tulikuwanayo na nia ya kumchapa tulikuwa nayo.....hahaaa hongera wekundu
 
Mtani na ex-seminarian mwenzangu wewe umeelewaje kuhusu mikoba ya ufundi? Tazama jina langu ndio ujue huko kwa kina Kalimazila mimi siko kabisaaaaa

Hahaaaaaaaaaaa....Nikajua ni ile ya akina Mzimba.....Ya Kamati ya ufundi....Hongera kwa ushindi(kwa lugha yetu ile ya Seminarini twasema 'Congratulations pro wining venatus'.....Pamoja frater
 
Pulizii mtani kupewa kadi nyekundu ni kutoka na wao kuzidiwa ndio maana wakacheza ndivyo sivyo. Kummpiga mweziyo kichwa siyo soka hiyo labda cage fighting.

Najua mtani.....Yanga tumefulia mwaka huu bana........
 
Hahaaaaaaaaaaa....Nikajua ni ile ya akina Mzimba.....Ya Kamati ya ufundi....Hongera kwa ushindi(kwa lugha yetu ile ya Seminarini twasema 'Congratulations pro wining venatus'.....Pamoja frater

Na mimi naiiba hii hongera kwani inanihusu pande zote so Ahsante
 
Back
Top Bottom